Urais 2015: Mtei amshukia Zitto

Wasomi wa Chadema njooni na majibu muafaka; hizi riwaya hazisaidii tunataka ni kipengele mh. Zitto amekivunja

Chama
Gongo la mboto DSM

Mkuu chama,
Hakuna wa kukupa jibu kamili zaidi ya kukwambia Zitto hana nidhamu.
 
Last edited by a moderator:
Zitto said:
13th June 2008 - Siamini kuwa ili kuleta mabadiliko katika nchi ni lazima uwe Rais. Kuna njia nyingi sana. Mnaoangalia Urais pekee, mfungue macho yenu na kusoma. Kuna njia nyingi za kuleta mabadiliko katika uongozi wa kisiasa wa nchi. Sio kukimbilia Urais. Wanaoutamani Urais, wasiruke roho. Ni utume wangu kuona nchi yangu ni ya mfumo imara wa vyama vingi. Urais katika ukombozi is simply one of the means, not an end.

Nazidi kuipenda JF...!
 
Mkuu Molemo, alichofanya ZZK sio kutangaza kugombea urais kupitia Chadema, bali kutangaza nia ya kuiomba Chadema kumpitisha kama mgombea wa Chadema 2015!. Naomba sana utofautishe kati ya "kutangaza nia" na "kutangaza kugombea"!.

ZZK alipotangaza nia, mimi nilimuunga mkono na kutangaza nia ni jambo jema na jambo la kheri na nikatoa wito kabisa kuwa kila mwenye nia na aitangaze!, hivi kuna ubaya gani?. Hebu kanisome hapa Urais 2015 tusimlaumu Zitto; Nani anaujua Msimamo wa Dr. Slaa ...

Lakini ZZK alipojitangaza rasmi kuwa hagombei tena ubunge na badala yake "atagombea urais kupitia Chadema" nilimpinga!. Nilimwambia wazi, that was wrong!, hakupaswa kujitangazwa, bali alipaswa tuu kuonyesha vitendo vya ki presidential candidate ndani ya chama, ili wenzake ndio wamuone na kumuomba agombee na sio kujipigia debe na hapa nilimtahadharisha Urais wa ZZK 2015: Ngoma Ikivuma Sana...!. Wenye uwezo wa kumtangaza mgombea ni Chama na sio mwan achama individual!.

Ila lazima mkubali, mkatae, ndani ya Chadema kuna double standards za hali ya juu!, kuna baadhi ya mambo yakifanywa na kina fulani ni halali, ila wakifanya kina fulani inageuka ningwa!.

Tatizo ni kuwa ndani ya mioyo ya wana Chadema wengi, wanaye mgombea wao mioyoni mwao, sio tuu kuwa mgombea huyo anakubalika sana kwao, bali anaabudiwa!. Kitendo cha ZZK kujitokeza anaonekana kama kumkufuru huyo mungu mtu anaye abudiwa!. Na kwa wasio jua, mimi naujua msimamo wa huyo mgombea wenu kipenzi kuhusu kugombea au kutogombea urais na usome hapa Msimamo wa Dr. Slaa Kwenye Urais 2015 ...

Unashauri kamati kuu itoe miongozo, hivi kumbe Chadema haina demokrasia ya kila mwanachama yoyote kugombea nafasi yoyote ni mpaka kamati kuu itoe miongozo!.

Tena kwa vile ZZK ni rafiki yangu, na kabla hata ya huo urais kuna uchaguzi wa viongozi wa Chadema, nitamshauri agombee tena Uenyekiti na this time hakuna kujitoa mpaka kieleweke!.

Hivi nyinyi wapenzi wa Chadema, bado hamjajua ZZK ndio mtaji wenu pekee wa ushindi 2015?. Jee mnajua CCM itamsimamisha Membe?, sasa kwa vile huyo mgombea kipenzi wetu na Membe hawana tofauti katiuka zile kampeni za "kivile", na hamjajua kwa mujibu wa katiba mpya, ili chama kishinde urais wa JMT, lazima kipate angalau theluthi moja ya kura za Visiwani!, hivi huyo mgombea wenu kipenzi, kwa siasa zetu "zile", hizo theluthi ya kura kutoka visiwani zinatokea wapi?!.

ZZK anakubalika sana kutokana na kuendesha "strategic politics" kwa urafiki wake na January Makamba, atazivuna kura zote za vijana wa CCM!, kwa urafiki wake na Jussa, atazivuna kura zote za CUF kule visiwani. Kwa usomi wake, atazivuna kura zote za vijana/wasomi na wataka badiliko ya kweli with clear goals na right strategies!.

Nashauri, baada ya Mzee Mtei kukikabidhi chama kwenye "safe hands" za mkwewe, his advisory role yake ibaki limited kwa insiders tuu wa chama na sio ku express his public opinion publically as if chama bado ni chake!. Heshima yake kama muasisi ipo pale pale, lakini kwa sasa chama sio chake tena, sasa chama ni cha wanachama!, tena Mwenyekiti Mbowe anatakiwa kujipambanua kabisa kwa hili kuwa "amekata kabisa zile mothers apron strings" ili isje onekana kina Mzee Edwin Mtei ndio bado wanaendesha chama by proxy kupitia kwa wakwe zao!.

Ili chadema kuonysha ina "practice what it preach" lazima iache democracy i prevail!.
Go ZZK Go!.

Pasco.

Mkuu Pasco moja ya vichwa naviaminia kwa mawazo huru basi wewe ni mmoja wao
Ulicho kiongea wachache sana watakuelewa kwasababu ya upofu uliokithiri wa mapenzi ya vyama vyao
Big up mkuu
 
Last edited by a moderator:
Wasomi wa Chadema njooni na majibu muafaka; hizi riwaya hazisaidii tunataka ni kipengele mh. Zitto amekivunja

Chama
Gongo la mboto DSM

Mkuu huyu mtu Malemo ni mpuuzi sana, na kama kweli ni mtumishi hapo HQ ya CDM basi hafai hata kidogo
Yeye kutwa kuchwa na Zitto tu, anadhani anajenga kumbe anabomoa
Na huye mzee mtei busara zimemuisha kwa uzee, alikuja na udini kwenye tume ya katiba na sasa anaanza kuzima tena demokrasia ndani ya chama
 
Mshauri mkuu wa chadema ndugu, Kitila Mkumbo alitembelea Uingereza katika miji ya London na Readings kuanzia tarehe 5 Machi na 6 Machi 2012 na kuondoka tarehe 10 Machi, 2012.


Miongoni mwa mambo aliyotueleza ni kuwepo kwa mpasuko wa nani anasitahiri kubeba/kupeperusha bendera ya chadema katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 kati ya Freeman Mbowe na Dk. Slaa.Mkumbo anasema kuna kambi mbili zinazopingana ndani ya chadema kuhusu suala hilo.

Wanaomuunga mkono Dk. Slaa wanasema kwamba ni mtu anayejua kujenga hoja, ana mvuto, wananchi wanamwamini kuliko Mbowe lakini pia kwamba Dk. Slaa alishinda uchaguzi mkuu wa 2010 kabla ya kuchakachuliwa. Kwa sababu hiyo akipewa nafasi tena 2015 na chadema ikisimamia vyema uchaguzi huo Dk. Slaa anaweza kuwa Rais ajaye.



Kambi ya mbowe inasema kwamba alitumia asilimia 72 ya pesa yake katika kufanikisha kampeni za uchaguzi wa mwaka 2010, wapo wanaodai chama kirudi mikononi mwa Mbowe kwa sababu hivi sasa ameimarika zaidi kwa ajili ya kugombea Urais katika uchaguzi mkuu ujao. My take: Kuendeleza huo mpasuko kutaisaidia ushindi wa CCM katika uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015.


Wadau nimeleta kwenu tusaidiane namna ya kutafuta ufumbuzi wa mpasuko wa kambi mbili hizi ili chadema kiendelee kuwa chama kikuu cha upinzani na pengine kushika dola mwaka 2015.Source: Nilikuwa Uingereza miongoni mwa wafuasi wa chadema tuliohudhuria kikao cha kamanda wetu Kitila.

HUU UZI UNAUKUMBUKA????
wewe acha kudanganya uma chadema ni chama makini hawakurupuki hakuna mpasuko wowote 2015 nchi lazima ichukuliwe na chadema
 
Mkuu chama,
Hakuna wa kukupa jibu kamili zaidi ya kukwambia Zitto hana nidhamu.

Mkuu Ritz;
Hivi kutekeleza haki ya kidemokrasia ni kukosa nidhamu? Tumeambiwa Chadema kuna wasomi wengi hivi wameelewa walichosoma au wao ndio hawana nidhamu na demokrasia?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Mkuu nakuomba ujaribu
kusoma vizuri hoja yangu, usijaribu ku-derail mada. Dk Slaa naye yuko
kwenye kundi ambalo koo hiyo linamuona ni expendable, wanamtumia
tu kutafuta umaharufu lakini deep down hawana habari naye. Labda
nikwambie kitu - kama shemeji yangu huyo angeshinda URAIS mwaka 2005 saa
hizi angekuwa amekwisha fanyiwa mbinu za kumuondoa IKULU kwa
kisingizio chochote kile kiwe kusingizia ugonjwa au njia mbadala ili
wamsimike mtu kutoka ukoo wao, don't underrate resolve na hulka za jamaa
hawa, wana mbinu nyingi SANA.

Mnahangaika tu...jiandaeni kisaikolojia Dr slaa atakuwa rais2015! Huo ubwabwa wenu huo utaishia kama lyatonga tu kuja kuonekana kituko ktk jamii!
 
Wasomi wa Chadema njooni na majibu muafaka; hizi riwaya hazisaidii tunataka ni kipengele mh. Zitto amekivunja

Chama
Gongo la mboto DSM

hata mpaka mwakana hawawezi kuja na majibu muafaka.
Tatizo zkk anatishia maslahi ya wenye chama, mtei na mkwe wake mbowe.
 
Mkuu Pasco moja ya vichwa naviaminia kwa mawazo huru basi wewe ni mmoja wao
Ulicho kiongea wachache sana watakuelewa kwasababu ya upofu uliokithiri wa mapenzi ya vyama vyao
Big up mkuu

Mkuu huyu mtu Malemo ni mpuuzi sana, na kama kweli ni mtumishi hapo HQ ya CDM basi hafai hata kidogo
Yeye kutwa kuchwa na Zitto tu, anadhani anajenga kumbe anabomoa
Na huye mzee mtei busara zimemuisha kwa uzee, alikuja na udini kwenye tume ya katiba na sasa anaanza kuzima tena demokrasia ndani ya chama

Mkuu Ritz;
Hivi kutekeleza haki ya kidemokrasia ni kukosa nidhamu? Tumeambiwa Chadema kuna wasomi wengi hivi wameelewa walichosoma au wao ndio hawana nidhamu na demokrasia?

Chama
Gongo la mboto DSM

hata mpaka mwakana hawawezi kuja na majibu muafaka.
Tatizo zkk anatishia maslahi ya wenye chama, mtei na mkwe wake mbowe.

Naona mmetoka usingizini mmelejea upya
Poleni sana:juggle:
 
Mkuu huyu mtu Malemo ni mpuuzi sana, na kama kweli ni mtumishi hapo HQ ya CDM basi hafai hata kidogo
Yeye kutwa kuchwa na Zitto tu, anadhani anajenga kumbe anabomoa
Na huye mzee mtei busara zimemuisha kwa uzee, alikuja na udini kwenye tume ya katiba na sasa anaanza kuzima tena demokrasia ndani ya chama

mtei anataka kumkandamiza zito kama alivyofanya wakati zito alipotaka kugombea uenyekiti.
Bahati nzuri zito amesha mshtukia.
 
kwa kadri ninavyojua na hali inavyoendelea huku ndani kabisa chini ya jiko kuna watu wawili hawawezi kuwa marais wa nchi hii 2015.. zitto Kabwe na Lowassa...tena huyu wa pili ndio kabisaa hataweza maana file lake ni chafu na pia mwenye nyumba wakati akiwa njia kuelekea US alipigia mstari...tunajua nini kitatokea huyu akiingia pale ikulu na hivyo ni jukumu letu kuepeusha..ni heri kuweka kinu pale ikulu kwa miaka 5 kuliko huyu....Zitto sababu ziko wazi kwa sasa hawezi kuwa rais labda apindue nchi kitu ambacho hawezi....
Mara nyingi huwa naamini sana maneno yako.Endelea kutujuza mkuu
 
Mtakuwa ndo mmetoka kwenye mgao kwa Mtambo mkuu Nnauye Jr

Wengine wanakuja muda si mrefu Nakala kwa peri, paulss, Ritz njaa mbaya sana

Hii dhana sijui imetoka wapi mtu yeyote humu JF hakiwa Against Chadema basi katumwa na CCM, labda nikuulize wewe kwenye mshahara wa Dr Slaa wa milioni 7 kwa mwezi anakukatia kiasi gani?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom