Upuuzi wa Kipanya

Keykey

JF-Expert Member
Dec 1, 2006
3,250
740
kp_Aug_12.jpg
attachment.php

Kwa hisani ya MICHUZI
 
ni kivumishi.. wewe ndio umeelewa vibaya......wewe mtoto wa kishua nini? manake watoto wa kitaa tushaelewana hapo
<br /><br />
<br /><br />
hahahahaaa! <img src="/images/styles/JamiiForums/smilies/smile.png" border="0" alt="" title="Smile" smilieid="307" class="inlineimg" /> hapana bhana. Chumvi iliyotumika imezidi. Teheteheee! Mi borntown mbishi tu. ;)
 
Nadhani ccm hawasomi katuni kama hizi kwani wangekua wanasoma ungekuta washabadilika na kwenda na alama za nyakati
 
Nadhani ccm hawasomi katuni kama hizi kwani wangekua wanasoma ungekuta washabadilika na kwenda na alama za nyakati

Ngudu siyo kama Hawazisomi wanazisoma lakini hawazielewi na kujifanya hawazioni kwa sababu matatizo ya Watanzania wao ni mtaji wa kuzidi kujiweka madarakani na kuchota fedha zetu za madafu wakitumia wawekezaji uchwara.
 
Huyu jamaa kwa kweli ni kichwa na hizi katuni zake zinafikirisha kwa kweli...
 
Back
Top Bottom