Upuuzi wa Kipanya

KP ni miongoni mwa wasanii wachache TZ wanaoumiza kichwa na kuangalia mambo katika upeo mkubwa...kunawakati huwa namlinganisha na Gado wa Nation la Kenya
 
Ingependeza zaidi kama neno 'upuuzi' kwenye heading ya hii thread lingewekwa kwenye inverted commas.

Kudos KP!

duh, hii kali nimependa sana, hii ahadi naskia ilitolewa na jamaa mmoja serikalini hukooo
 
Kipanya's calibre is uncomparable with any living Tanzanian cartoonist! He's vabrant with issues touching our daily lives.
Kp, wakumbushe tena kuna kitu kinaitwa 'biofuel' - uhujumu uchumi wa wauza mafuta utakufa.
 
KP ni miongoni mwa wasanii wachache TZ wanaoumiza kichwa na kuangalia mambo katika upeo mkubwa...kunawakati huwa namlinganisha na Gado wa Nation la Kenya

Mkuu kiukweli Gado ni mkubwa kumzidi Kipanya kiumri,lakini katika suala la katuni Gado hajafikia hata nusu ya uwezo wa Kipanya.Huyu jamaa ni noma kwa kiswahili cha mtaani.
 
Mkuu kiukweli Gado ni mkubwa kumzidi Kipanya kiumri,lakini katika suala la katuni Gado hajafikia hata nusu ya uwezo wa Kipanya.Huyu jamaa ni noma kwa kiswahili cha mtaani.

Ujafuatilia katuni zake GADO yupo juu zaidi ya Kipanya. kazi zake zinaenda mbali na zinakubalika. Lakini kipanya naye namkubali kwa kuwasilisha hoja nzito kwa urahisi kutumia picha.
 
Back
Top Bottom