Habarini ndugu zangu! Nashindwa kuelewa hasa fomu za kuomba mikopo online, sisi tuliopo vyuoni wametuweka category moja na hawa six leavers kwa mana hiyo tunatakiwa kulipa tena 30,000...kwanini wanatufanyia ivi lakini?
Hiyo pesa tulisha lipa mwaka jana na pia tuli appeal tena kwa 5000...data zetu zote wanazo wanataka tena tu apply, naombeni mawazo yenu jaman
Hiyo pesa tulisha lipa mwaka jana na pia tuli appeal tena kwa 5000...data zetu zote wanazo wanataka tena tu apply, naombeni mawazo yenu jaman