Upuuzi wa HESLB tulioko vyuoni

Zidy

Member
Oct 5, 2011
29
4
Habarini ndugu zangu! Nashindwa kuelewa hasa fomu za kuomba mikopo online, sisi tuliopo vyuoni wametuweka category moja na hawa six leavers kwa mana hiyo tunatakiwa kulipa tena 30,000...kwanini wanatufanyia ivi lakini?

Hiyo pesa tulisha lipa mwaka jana na pia tuli appeal tena kwa 5000...data zetu zote wanazo wanataka tena tu apply, naombeni mawazo yenu jaman
 
Si kwel kama unavosema mkubwa Zidy..nilikua kene banda lao leo diamondjubilee leo na apa nilipo nna flyer ya online apprication system guidline yao..
Ngoja ninukuu sehemu unayoitaka wewe,ina sema iv,

"All 2nd,3rd and 4rth year continuinin stdnts who paid one time loan applictin fee of Tzs 30,000 for academic year 2009/10, 2010/2011 and 2011/2012 shall not b required to pay any fee." mwisho wa kunukuu
i hop that will help
 
Thanx God,mkataba wangu na hao wapumbavu unaisha mwezi wa 6.
 
Si kwel kama unavosema mkubwa Zidy..nilikua kene banda lao leo diamondjubilee leo na apa nilipo nna flyer ya online apprication system guidline yao..
Ngoja ninukuu sehemu unayoitaka wewe,ina sema iv,

"All 2nd,3rd and 4rth year continuinin stdnts who paid one time loan applictin fee of Tzs 30,000 for academic year 2009/10, 2010/2011 and 2011/2012 shall not b required to pay any fee." mwisho wa kunukuu
i hop that will help

mkubwa mwsho wakurenew ni lini?
 
Hapo first year hatupo epicauta,wameanzia 2nd year na unajua kundi kubwa la waliokosa mikopo ni sisi! Kwa hiyo wametugeuza vitega uchumi vyao
 
Si kwel kama unavosema mkubwa Zidy..nilikua kene banda lao leo diamondjubilee leo na apa nilipo nna flyer ya online apprication system guidline yao..
Ngoja ninukuu sehemu unayoitaka wewe,ina sema iv,

"All 2nd,3rd and 4rth year continuinin stdnts who paid one time loan applictin fee of Tzs 30,000 for academic year 2009/10, 2010/2011 and 2011/2012 shall not b required to pay any fee." mwisho wa kunukuu
i hop that will help

Mkuu kama hayo uyasemayo yanaukweli...kwa mwaka wa kwanza waliokosa mkopo waapply wap sasa...maana kuna options tatu.....
1) first time applicants
2)Loan Beneficiaries(1st-3rd Year) ?
3)Loan Beneficiaries(4th - 5th Year)

Aya waende wapi kati izo option maana wao sio loan beneficiaries
 
tunaapply pale kwa first time applicants..kama una computer peleka cursor yako pale kwa waliweka alama ya mshangao(?) utaona wanaotakiwa kuapply pale
 
Ivi kwa wale continuing,boom linatoka lini? I mean la mwisho kabisa (kwa semester hii ya pili)
 
Mkuu kama hayo uyasemayo yanaukweli...kwa mwaka wa kwanza waliokosa mkopo waapply wap sasa...maana kuna options tatu.....
1) first time applicants
2)Loan Beneficiaries(1st-3rd Year) ?
3)Loan Beneficiaries(4th - 5th Year)

Aya waende wapi kati izo option maana wao sio loan beneficiaries

Option 1 ndo sahii kwa nyie. Kwa7bu kama haukupata kabisa mwakajana,hivyo hauwezi kuwa option 2. Hakuna namna kaka ya kukwepa kulipia tena.
 
Kwmaana iyo hawa watu wa bodi wametufanya sisi ndo migodi....kitendo cha kilipia tena inamaanisha jumla tutakuwa tumechangia zaidi ya 60000 kwa bodi na bado ile ya kuappeal....imagine hali ilivyo kwa mtanzania mwenye kipato cha chini
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom