Upuuzi mwingine wa Ikulu huu hapa

hii serikali ya m''kwere ni vururuvururu tu tangu aingie madarakani, sasa wanaharibu hadi nature ya magogoni, uuuuuuwiiiiiiiiiiiiiii.....niikahi moyo wangu.

Mpango huu ulikuwapo tangu enzi za Mkapa, serikali ya awamu ya nne ya JK imeendeleza tu wazo la serikali ya awmu ya tatu
 
Kwa sasa taarifa hii haijitoshelezi ni kama inakosa maelezo ya zaida, aliyetuma thread hii ameshitushwa na design ya majengo bila kujali kwamba Ikulu inatakiwa kujengwa kwa kiwango cha hali ya juu kupita kiasi na ndio maana Ikulu kama ya USA iko karne nyingi kwa sababu waliwekeza kwa ajili ya kizazi kijacho.

Nani kakwambia Ikulu ni mahali pa international Conferences?
ile ni ofisi na makazi ya mtawala wa nchi. Full stop.
 
Wewe mama mbona uko bize sana kujibu Inaonekana umetumwa nini? Hebu tuambie kama project hii ni priority kwa hali ngumu ya kifedha na ugumu maisha tulionao. Wananchi wengi hivi sasa tumesimamisha project zote za maendeleo na kubaki na kuganga njaa tu maana kipato hakitoshi kufanya Project yoyote ya maendeleo labda kama wewe ni fisadi.

Kaanei chini mfikiri kama project hii ni priority kwa sasa. Pia tungetamani kufahamu gharama ya hii project maana kama kawaida lazima itakuwa ni inflated value project kama kawaida ya mafisadi.


Una wazo zuri kama nimekuelewa kwamba huipingi project bali sio wakati wake basi kama ndivyo tunaweza kuwatumiwa wabunge wawakilishi wetu waiombe serikali kusimamisha kwamba mpango huo badala ya matusi.
 
International conferences Ikulu? what next - kitchen party?

Ni Ikulu gani duniani inatumiwa kwa 'international conferences? Usalama utakuwaje?
 
Mama porojo.... There is no way anyone would justify investing anything at magogoni it is already congested, risky and against national plan to move to Dodoma....

Or rather they would take a thousand acres in kigamboni and build a new state house.... No matter what! Can't justify a multi million dollars investment in the current magogoni, especially now!
 
Tumetishika zaidi na mchoro ambao sina hakika kama ndio wenyewe kweli na kuacha kujadili faida ya mradi huu. Wote tunakimbilia kwenye thamani ya ujenzi sio tutaokoa kiasi gani baada ya ujenzi huo kukamilika. Moja ya maeneo ambayo yanaingiza hasara serikali kwa sasa ni kukodi kumbi za kisasa kulingana na wakati uliopo huko nyumba serikali haikuwekeza kwenye kumbi. Kama kweli tunataka serikali yetu iache kukodi kumbi wakati wa mikutano ya ndani na kimataifa tunahitaji angalau kuanza kujenga ukumbi mmoja mmoja kadri miaka inavyosonga mbele
Ukumbi Ikulu? wenye majiko na VIP Rooms?.....
Running cost ya hilo jengo nani atagharamia? mikutano mikubwa kiasi hicho huwa mingapi kwa mwaka Tanzania? itakuwepo kila wakati?
 
pesa za website na e-mails hawana lakini mabilioni for this stupidity yapo

I hope JK hatosign huu upuuzi

amwachie lowassa hichi kiporo
 
Unless utupe taarifa sahihi juu ya kuwepo kwa Design ya Ukumbi huo! Mpaka sasa taarifa yako inaonyesha kuwa kuna wazo la kujenga Ukumbi wenye sq.m za mraba 6000 wenye uwezo wa kumudu wageni wasio pungua 500 katika viwanja vya Ikulu. Ukumbi huo unafikirika uwe na picha au taswira kama hizo ulizo onyesha hapo juu na husisababishe ukataji wa miti kama Mibuyu kwa kuifanya iwe sehemu ya paa la juu na nguzo za kumbi.

Hakuna ushahidi wowote uliotoa kuwa tayari kuna Design ya ukumbi huo, nadhani ndio maana hata gharama za ujenzi hazijulikani wala michoro uliyotowa siyo michoro ya Design bali ni taswira la wazo linalofikiwa lifanyike.
 
Mama Porojo, acha porojo bana...............etu tungoje bunge ndo litajadili.........

kwahiyo sisi tunyamaze tu!!...................kweli aliyekutuma akili sawa na ya kwako.


Manufacturing of teachers.
 
Hii ni njia nyingine huyu mkweree na genge lake wamebuni mradi kutaka kwaibia masikini wananchi ; wakati wanasema hawana fedha za kulipa mishahara ya madaktari lakini wanazo fedha za majengo!! Hizo fedha za NSSF nyie jamani ni za wenyewe wafanyakazi msizimalize kwa maslahi yenu binafsi, kama mna shida ya ukumbi wa kimataifa mbona ule pale benki kuu umejengwa kwa mabiioni ya fedha na hautumiki!!
 
International conferences Ikulu? what next - kitchen party?

Ni Ikulu gani duniani inatumiwa kwa 'international conferences? Usalama utakuwaje?

hii nchi kuna mambo ya kilimbukeni hujawahi hata kuyaota kwenye ndoto!
Hata suala la Radar na Ndege ya rais, yote tuliyaendesha kwa ulimbukeni wa hali ya juu...
 
........."Twenty Thousands Blue Blistering Barnacles!".........damn!
 
Hii ni njia nyingine huyu mkweree na genge lake wamebuni mradi kutaka kwaibia masikini wananchi ; wakati wanasema hawana fedha za kulipa mishahara ya madaktari lakini wanazo fedha za majengo!! Hizo fedha za NSSF nyie jamani ni za wenyewe wafanyakazi msizimalize kwa maslahi yenu binafsi, kama mna shida ya ukumbi wa kimataifa mbona ule pale benki kuu umejengwa kwa mabiioni ya fedha na hautumiki!!
Ina maana NSSF ndio wanajenga huuu ukumbi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom