Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 879
- 4,124
Binadamu akikosea nguvu za asili za kiume au kike anakosa pia nguvu za asili za kufanya KAZI kwa tija na hivyo uzalishaji kwenye TAIFA ushuka.
Tanzania tumekuwa na wananchi wenye changamoto ya nguvu za kiume na kike. Kuthibitisha au kupata ukweli angalia mabango ya tiba asili, angalia pharmacy, angalia hata hospitali kubwa kila daktari na wanaoitwa wataalumu wanachunguza nguvu au wanatibu nguvu zinazosadikiwa zimepungua.
Changamoto hii inakwenda mbali zaidi kwa Sababu inapelekea watu wengi kutumia akili zao kujihoji kama nguvu walizonazo zinatosha au hazitoshi. Wanapotaka kujiridhisha wanalazimika kuwekeza nguvu nyingi kwenye kutongoza na kufanya mapenzi. Katika kutekeleza mpango huu wa zinaa, muda mwingi unapotezwa kwenye zinaa kuliko uzalishaji na hivyo Taifa linaendelea kudidimia kiuchumi.
Kwa wale wachache waliofanikiwa pia nao wanatumia rasilimali nyingi kuzini wakiamini wanapozini Sana ndivyo wanafanya majaribio kama wapo fiti. Kwa kuwa wanafedha inabida wanapozini nao wawajenge kisaikologia kwamba nguvu zipo fresh, lakini zinaa ina tabia ya kutodumu sana hivyo wenye fedha wengi badala wawaze uwekezaji mkubwa WANAWAZA kuzini.
Angali wabunge wengi pesa wanaipeleka wapi? Angalia viongozi waandamizi pesa wanaipeleka wapi? Kwa Sababu Tu tumewekeza kupima kama nguvu zetu za kiume na kike zinatosha basi hata kusimamia sekta tulizopewa zinatushinda na hii imepelekea CAG kila akigusa akutane na uozo. Reson moja wapo ni kwamba mapenzi yamepewa nafasi kubwa nchini kuliko KAZI.
Waziri akiiba watu watakaa kimya, Ila akifumaniwa lazima atabemendwa na vyombo vya habari hadi ajiuzulu. Means Bora uibe tutakukalia kimya Ila siyo Kwa kukosa mbinu ukakamatwa lakini tutashindwa kukuvumilia ukifumaniwa kwa Sababu we are expert on that.
Kwa ngonjera hizi, ni lini tutamua kuachana na utaftaji wa nguvu za kiume tutafute utajiri kama Taifa? Lini tutapata viongozi serious watakaosema Bora ufumaniwe lakini siyo ubainike kuiba Mali za umma?
Fedha nyingi zilizotajwa kwenye ripot ya CAG naamini zipo kwenye mizunguko wa kutest au kununua nguvu za kiume na kike means zipo kwenye zinaaaaaaaaaa. Walioiba walichofanya wamekwenda KUWAJENGEA maawara nyumba na kunywa hakuna serious investment inayoonekana.
Kwa wizi ule tulipaswa kuwa na serious companies ambazo WAMILIKI wamepata mtaji kwenye wizi at list kampuni hizo zingetoa ajiri, ila zinaa ajira yake ndogo sana.