MwafrikaHalisi
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 1,741
- 511
- Thread starter
- #21
Huyu hatakuwa DK Slaa, PhD.
Anahusikaje na mada yetu mkuu?
Huyu hatakuwa DK Slaa, PhD.
Huyu yupo profesional zaidi, kwenye siasa anatumiwa tu na wanasiasa kama Maalim Seif, huyu anapaswa arudi kwenye fani yake PERIOD.
Angetusaidia sana kama angerudi Darasani kufundisha, Chuo kikuu cha Kiislam Morogoro kinahitaji wasomi wa kukisaidia
Kweli kabisa. Kwa maana kama yeye amebobea basi atusaidie kuzalisha vijana wengine walobobea kwenye uchumi. Nadhani hilo litakua na tija zaidi kwa Tanzania yetu
Anachokifanya kwa sasa ni zaidi ya kukaa darasani, vitu vyake anavyotoa vinasomeshwa na vinafatwa na vyuo vingi duniani. Umeona mlolongo wa papers zake?
Unafikiri utapewa uenyekiti wa wachumi duniani bila kuwa na vitu vya uhakika?
Hizo publications tu, ni tosha bila kuonesha shahada zake. Ni msomi wa haja.
Tunaomba na za Mwenyekiti wa CHADEMA. kwi kwi kwi kwi, teh teh teh!
....hapo kwenye presidential candidate naona kataja 1995 na 2000 tu! kama mkono unauma kuandika miaka yote angesummarize tu kwa kusema "Presidential candidate from birth of CUF until its/his death" just like his Secretary Maalim Seif Hamadi. This also applies for their positions as party Chairman and secretary respectively.
Huyu ndo prof wa ukweli hiyo cv tu inatosha umwamkie.Kama umeenda shule Nadhani mzigo aliyokuwa nacho kichwani unafaa ufunge domo lako
Ubunge wa maji marefu umekujaje hapa?
Jambo moja la msingi: UONGOZI HAUSOMEWI!
Kwahivyo ndugu zangu, kama mnataka kunishawishi nimchague Prof. Lipumba kwenye kinyang'anyiro cha Urais mwaka 2015, naomba mnipe hoja nzito zaidi ya uprofesa wake katika uchumi. Nawasilisha.
habari yako!unahoji uprofesa wa lipumba,mbona unaonekana upo out of date,coz dunia inamtambua iweje wewe umtilie mashaka,kweli uongozi hausomewi but kumbuka kuwa huko nje alikokuwa kwenye kikao yeye alikuwa ndo mwenye kiti wa jopo la wataam wa uchumi duniani.
[SIZE=-1]Foreign Exchange and Economic Development in Tanzania [/SIZE] |
Hakuna watu wanaopinga usomi wa Lipumba, ila nadhani kuna vitu vinabidi viwekwe sawa. Prof. Lipumba alipokuwa marekani kwa takribani miezi mitano hakwenda kwenye jopo la wana uchumi kama vyombo vingi vya habari vilivyotangaza bali walikuwa wanachambua mambo ya demokrasia katika nchi mbali mbali; uchumi ni subset ndogo sana katika wale waliyozungumzia. Pia ningependa kujua PhD yake ya Stanford, ingwaje thesis ni ya kiuchumi, ila alikuwa kwenye Dept ya Agriculture na sio Dept ya Economics.
[COLOR=#80000][SIZE=-1]Lipumba [/SIZE][/COLOR] [COLOR=#80000][SIZE=-1]Nguyuru [/SIZE][/COLOR] [SIZE=-1]1983 [/SIZE][SIZE=-1]Senior Lecturer, Economics Department, University of Dar-es-Salaam, Tanzania [/SIZE][SIZE=-1]- [/SIZE]
[SIZE=-1]Foreign Exchange and Economic Development in Tanzania [/SIZE]
Lipumba anaweza kuwa Rais wa misikiti tu na sio Rais wa nchi, huu ndio ukweli mchungu unaopaswa kuulewa & spread this msg kwa shura ya Maimamu.