OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,208
- 103,782
Gazeti limeandika mengi kuhusu Mtatiro kukubali makubaliano ya UKAWA kuiachia Chadema jimbo la Segerea.Mwisho limeandika eti Julius ameamua kukaa pembeni na kuacha siasa.Mbinu za baadhi ya waandishi wa habari kuandika vibaya mambo ya UKAWA ni za kitoto.JF inazo kumbukumbu kuwa Julius alikubaliana na maamuzi na akasisitiza Ushindi wa Chadema ni Ushindi wa wote