Upolisi:Form 4 na Form 6 waitwa kwenye usaili

lazima ukae

JF-Expert Member
May 15, 2013
789
382
Hatimaye baada ya kimya kilefu vijana wa form 4 na form 6 wameitwa rasmi kwenye usaili utakaoanza mapema mwezi ujao ili kupata vijana wenye sifa watakaokwenda kuhudhuria mafunzo ya ukakamavu katika chuo cha upolisi mjini moshi.Kwa taarifa zaidi na kupata orodha ya majina ya walioitwa tembelea www.policeforce.go.tz
 
Back
Top Bottom