http://www.nytimes.com/2008/03/09/world/asia/09malaysia.html?hp
Wadau huu ni ushindi wa wa Muungano wa Vyama vya Upinzani huko Malaysia...
Hii ni nafasi kubwa wa Vyama vya Upinzani Hapa Tanzania kuweza kuleta Mabadiliko. Malaysia chama cha CCM cha huko kilichokuwa kinaongoza zaid ya miaka 50, leo kimeshindwa!!!
Viongozi wetu wa Upinzani kaeni chini mtulize MZUKA wenu, acheni Fitna, Majungu, Undumila kuwili, Kutumiwa na vyote vinavyodhoofisa Upinzani. Najua CCM ina think tank yao ya kuumaliza upinzani thru kuwanunua hasa viongozi., kuyumbisha kauli zao.
Nini Muhim tunajifunza kutoka huko Malaysia?
Vipi TUME ilikuwa Huru?
vipi Vyombo vya Dola vilikuwa Huru?
Vipi Katiba? Je inatoa upendeleo?
Vipi Reaction ya wananchi? wavumilivu au Magomvi?
na Mengineyo
Viongozi wa Upinzani yafaa kujifunza kutoka kila nchi ambayo upinzani umeshinda!!!
2010 si mbali kwa vyama vyenye Malengo ya Kuleta Mabadiliko