achengula
JF-Expert Member
- Jul 30, 2009
- 369
- 62
wadau, watu wengi wanaonunua brand new computers uwa wanakuta imeku installed na cheapest windows 7 starter ambayo ina lack many features ahass upande wa multimedia.
Sasa ngoja niwape siri moja ni kwamba DVD ya installation ya windows 7 uwa inacontain aina zote za Windowa seven sema kuna command tag ambayo ndiyo ina determine cd ikuwekee windows 7 aina gani.
sasa kwa wenye windows 7 statrter leo nawapa formula ya ku upgrade windows 7 starter bila kutumoa internet wala cd la kufanya fanya haya:
Start->All Programs->type Windows Anytime Upgrade na press enter
weka hizi key upgrade to Proffession->237XB-GDJ7B-
MV8MH-98QJM-24367 na ku upgrade to Ultimate->6K2KY-BFH24-
PJW6W-9GK29-TMPWP
itachukua kama dakika 10 kazi kwisha
Mkuu naomba nieleweshe vizuri natumia windows 7 Professional, sasa hizo hatua sijakupata vizuri hasa hatua ya mwisho, type Windows Anytime upgrade maana nikisha click all programs inakuja list ya programs sasa hayo maneno windows7 professional natype wapi ili iniletee sehemu ya kuweka hizo key. Msaada kwa yeyote aliyeelewa please!