Upgrade to windows 7 professional au ultimate bila kutumia cd wala chochote

elmagnifico

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
8,260
9,704
wadau, watu wengi wanaonunua brand new computers uwa wanakuta imeku installed na cheapest windows 7 starter ambayo ina lack many features ahass upande wa multimedia.
Sasa ngoja niwape siri moja ni kwamba DVD ya installation ya windows 7 uwa inacontain aina zote za Windowa seven sema kuna command tag ambayo ndiyo ina determine cd ikuwekee windows 7 aina gani.
sasa kwa wenye windows 7 statrter leo nawapa formula ya ku upgrade windows 7 starter bila kutumoa internet wala cd la kufanya fanya haya:
Start->All Programs->type Windows Anytime Upgrade na press enter
weka hizi key upgrade to Proffession->237XB-GDJ7B-
MV8MH-98QJM-24367 na ku upgrade to Ultimate->6K2KY-BFH24-
PJW6W-9GK29-TMPWP
itachukua kama dakika 10 kazi kwisha
 
Windows anytime upgrade inakuwa in built kwenye windows 7 stater ni kiasi cha kufuata procedures mentioned above yani ndani ya dakika kumi ushamaliza kila ktu.
mkuu hiyo link inakupa key generetor ya keys tu za kufanyia hiyo upgrade zaidi ya moja...nilishawahi itumia sana tu!!
 
mkuu hiyo link inakupa key generetor ya keys tu za kufanyia hiyo upgrade zaidi ya moja...nilishawahi itumia sana tu!!

Yah naijua mkuu ni nzuri tu, mimi nimetoa hiyo kwa mtu asiye na internet ya kudownload na au hataki any third party program na ndo maana nikatoa keys 2 ya professional na ultimate. Na hii njia ina work kwa comp yenye windows 7 huwez upgrade from xp kwenda 7 kwa hii njia
 
Mkuu elmagnifico, Nina window 7 professional kwenye PC yangu, naweza tumia njia hiyo ku upgrade kwenda Window 7 Ultimate?
 
Big up Mkuu!!

Sasa imekuwa ULTIMATE!! Ahsante sana!! Ndiyo utamu wa JF!!!

By the way, which is sperior between Professional and Ultimate?
 
wadau, watu wengi wanaonunua brand new computers uwa wanakuta imeku installed na cheapest windows 7 starter ambayo ina lack many features ahass upande wa multimedia.
Sasa ngoja niwape siri moja ni kwamba DVD ya installation ya windows 7 uwa inacontain aina zote za Windowa seven sema kuna command tag ambayo ndiyo ina determine cd ikuwekee windows 7 aina gani.
sasa kwa wenye windows 7 statrter leo nawapa formula ya ku upgrade windows 7 starter bila kutumoa internet wala cd la kufanya fanya haya:
Start->All Programs->type Windows Anytime Upgrade na press enter
weka hizi key upgrade to Proffession->237XB-GDJ7B-
MV8MH-98QJM-24367 na ku upgrade to Ultimate->6K2KY-BFH24-
PJW6W-9GK29-TMPWP
itachukua kama dakika 10 kazi kwisha

mimi natumia home premium sp1 ya 64bits...hizi keys zinatumika mpaka kwenye 64bits au mpaka nidownload upgrade anytime software?..
 
Wakuu mie ninayo hii w 7 ultmate tangu nime install inanipa warnig ya kui apgrade kabla ya tarehe ....! Je mfumo huo uliotoa hapo juu na mie unaweza kunifaa?
 
Kwakweli hii imenisaidia sasa naomba mdau ambae atanisaidia namna ya ku-activate microsoft office professional plus 2010. Maana mimi sikubahatika kuwa na product key.

Natanguliza shukrani zangu za dhati.

Nawashukuru wadau.

Chezea mshahara usichezee kazi.
 
Back
Top Bottom