Nono ze utamu
Member
- Feb 7, 2012
- 34
- 3
Wadau naomba tutete kinaga ubaga,kuna jamaa yangu kanipa no ya binti mmoja na binti nimeisha ongea nae several time ila yet sijamwambia linalo nisibu kwake,na leo kaniomba tukutane na hatujawahi onana je unahisi ni maneno gani yanafaa mi kunena nae pale tutakapokutana?