Updates: Zoezi la kupiga kura - Arumeru East

Status
Not open for further replies.
Hawa jamaa wanapenda hela sana....wanakaba hata hivi vihela vidogo vidogo. Badala wawaachie wanachama wengine uwakala, wanatakufanya hiyo kazi wao ili wapate hizo allowance za uwakala!!

Rejao darling ndo unaamka karibu jukwaani
 
Kwanza mtu kutumia kifupi cha Rev. siyo lazima awe padri. Alafu kama ungetaka kufanya personal attack kisha usikosolewe hapa jukwaani ungemtumia Private Message na siyo kupost publicly. I repeat, too low from you, Mr. Rejao
ninavyofahamu mimi REV (mchungaji kiongozi) mtu anapata pale amehitimu shule ya uchungaji na si cheo kwa kupewa kama ilivyo neno pastor. Hii inalingana na mtu akihitimu shahada ya uzamivu (PhD) anapoitwa Dr.(PhD). Kama kweli alisoma na kuhitimu masomo ya uchungaji iko pouwa kama sivyo ni kosa
 
watu 72+43 bado wanafikiri kimkundumkundu.

enzi hizi siyo za kuchagua ccm.

fungukeni nyie mafala!

Mkuu, BAN inakunyemelea..control urself. This is JF, kioo cha Jamii, credible source I respect in TZ, Jiheshimu given the fact that u are premium member
 
Ni vizuri kama unauhakika wa habari usiwalishe wanabodi matango pori.

We mngoni sijakusoma hapo; kuwalisheni matango pori namna gani na wakati hili limewasilishwa na wanahabari mbalimbali walioko huko AM kupitia kituo cha ITV na wala sijalitoa majalalani
 
Hali ni tata kidogo hapo Tengeru kwn hakika vijana wapo makini Mi cjawahi kuona

Updates subirieni WanaJF!
Ntarudi!
 
Hali ni tata kidogo hapo Tengeru kwn hakika vijana wapo makini Mi cjawahi kuona

Updates subirieni WanaJF!
Ntarudi!

Mkuu maji ya chai na imbasseni vijana wamesimama imara wamemtoa nishai chatanda
Nitawapa update soon
 
Jamani tupeni mambo huko Arumeru na Mwanza!Vipi Wananchi wameamuaje?
 
Mungu mkubwa cha msingi chadema wawe makini na kata ya mgombea wa ccm huwa awachelei kuiba sehemu ambayo mgombea wao anatoka
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom