MCHUMIPESA
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 2,088
- 257
Makiba sioi inaongoza kwa 456 na chadema 206
ngoja nikupe haka ka wimbo kanakutosha.Mafisadi presha inapanda inashuka......Tuliza kidude dogo.
Makiba sioi inaongoza kwa 456 na chadema 206
Jamani haya majina mengine hata kama siyo ya kweli hakika yanaleta utatanishi: WA - UKE - NYEGE !!!!??????
Kina lusinde presha inapanda huko!!
Hadi ss hv kura nyingi zimepigwa kwa ccm cdm wanajikongoja kwa mbali!!
Nimekusika Padri! Halafu chama chenu kikihusishwa na Kanisa mnakasirika!
Nimekusika Padri! Halafu chama chenu kikihusishwa na Kanisa mnakasirika!
Imegundulika kwamba vijana wengi hawajashiriki kwenye upigaji kura huko Arumeru na kuonekana kuwa idadi kubwa ya waloshiriki wengi wao ni wazee na watu wazima na kufanya baadhi ya vituo hata walopiga kura washindwe kufikia nusu idadi ya waliojiandikisha"
My take: Suala la vijana kushiriki kwa bidii kwenye kampeni na kutoshiriki zoezi la kupiga kura ni moja ya sababu ya migogoro kwa matokeo ya uchaguzi, umefika wakati vijana wapewe elimu sahih juu ya umuhimu wa kutekeleza haki yao hii ya msingi.
kata zipi ambazo@jackbour hetu kwa kata zote kumi na saba ni kata gani ambayo kwa tadhini ndogo cdm wanaweza kuibuka kidedea
Wewe umerukia tu, nimemjibu padre comment yake. Anajiita Rev, na yupo upande wa CDM! Nachoamini mimi kiongozi wa dini hatakiwi ajishughulishe na mambo ya siasa!!! Nimeatack his personality and not his comment!! Think big bro!!Kwani Kanisa tu ndio lina Mungu??? Misikiti haina..? This is too low, Mr Rejao.
Haiwezekani nusu saa uwe umeshapata matokeo, ni uongo
Rejao uwe unatumia akili japo kidogo,kwa hiyo MUNGU ni wa wakristo peke yao?na waisilam wanamuabudu nani?usiwe kichekesho mbele ya umma.
Jibu lenu hili hapa chini! Turudi Arumeru wakuu!kwani Mungu ni kanisa?
Wewe umerukia tu, nimemjibu padre comment yake. Anajiita Rev, na yupo upande wa CDM! Nachoamini mimi kiongozi wa dini hatakiwi ajishughulishe na mambo ya siasa!!! Nimeatack his personality and not his comment!! Think big bro!!
Wewe umerukia tu, nimemjibu padre comment yake. Anajiita Rev, na yupo upande wa CDM! Nachoamini mimi kiongozi wa dini hatakiwi ajishughulishe na mambo ya siasa!!! Nimeatack his personality and not his comment!! Think big bro!!
Charles Ngereza akiwa kwenye kata za Kigwe na Mbuguni(sina hakika kama nimesikia sawa sawa) kwa ujumla vijana wamejitokeza wengi kuliko wazee