Lax
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 2,592
- 3,674
Mimi niliona mwanahalisi mkuuMkuu vipi hali ipo vipi kwa sasa huko mafia
View: https://x.com/Mwanahalisitz/status/1786691783063224406
Mimi niliona mwanahalisi mkuuMkuu vipi hali ipo vipi kwa sasa huko mafia
Kinaenda kubeba mijoka ya kule milimani iipeleke kuzimu, mkiwa karibu mtasikia minyororo inatoa sautiView attachment 2980723Dar Imesalimika-Morogoro Hidaya ataishia kwenye safu ya Milima ya Ulugulu karibu na Mgeta- hili eneo lipo mbele ya ile milima inayoonekana kama upo Maeneo ya Mzumbe! Ni 100% safu ya milima ya Uluguru. Kuna vijiji kadhaa lakini ni milima mitupu so athari azitokuwa Kubwa. Tanzania tuna kila sababu ya Kumshukuru Mungu.Asbh ilikuwa inaonekana kuwa Hidaya angeishia Lushoto Milimani! Hivyo kwa Tanzania Hidaya ilionekana mapema ataishia milimani🙏
Mmmwweeh. Hadi minazi imeng'oka. Hatari hiiMafia kimeleta madhara
Ulipiga upepo mkali sana hukoMmmwweeh. Hadi minazi imeng'oka. Hatari hii
Ingia tiktok search Bermudez triangle utajioneaWeee....usiniambie km ushawahi fika huko
Kutoka kwenye list iliyokwisha pangwa ambayo majina hayo yanawasilishwa na nchi husika zinazotengeneza umoja wa watabiri wa hali ya hewa.Hivi mlisema haya majina yanapatikanaje?!