Kwa nini CHADEMA Lazima impandishe ZITTO jukwaani kila inapoenda?
anakubalika sana,ameshangiliwa sana alipopanda jukwaani,yupo ndani ya mioyo ya watz.
Anaandaliwa kuwa rais. Ni rahisi kuamua kumweka zitto agombee urais kwani CDM hakuna mroho wa madaraka pia CDM wanaangalia calender na saa.
kwa vile chadema inajua impact ya zitto kupanda jukwaa.
ASANTENI SANA KWA MAONI MAZURI, lakini sababu kuu bado hamjaisema!
ni kweli kabisa...ni kazi tu ndio inawafanya waishi ivo...hata cdm ikishika dola wataendelea kufatilia mikutano ya wapinzani ccm kama kawaida na kama wanavyofanya hapo jamuhuri...pipooooozzz!!!
Gari la kamanda Nasari linasukumwa na maraia
Mkuu kwanza niombe radhi kwa kuniita GAMBA,
Pili mimi sipo bungeni nipo viwanjani nafuatilia mkutano wa CHADEMA, naona idadi ya watu hairidhishi ila sio mbaya ni mwanzo mzuri.
Pia nashangaa kwa nini CDM lazima wamtumie zitto au ndo anasafisha chama nini?

Maandamano ni ya kupinga au kutaka nini? Naona mnasema Mbowe ametangaza maandamano but sioni mahali mnapoeleza ni maandamano ya nini. Tafadhari tujuzeni.
Picha! Picha! Picha!
unajua zitto ni nani cdm? angepanda shibuda mungesema oooh mbona shibuda, nyinyi people bwana!!!!Mkuu kwanza niombe radhi kwa kuniita GAMBA,
Pili mimi sipo bungeni nipo viwanjani nafuatilia mkutano wa CHADEMA, naona idadi ya watu hairidhishi ila sio mbaya ni mwanzo mzuri.
Pia nashangaa kwa nini CDM lazima wamtumie zitto au ndo anasafisha chama nini?
Picha itakuwa vigumu sana kupata mkuu, hapa uwanjani hakuna watu kabisa mkuu, ni aibu, CDM inabidi next time wakija Dom wajipange
Kwa nini CHADEMA Lazima impandishe ZITTO jukwaani kila inapoenda?