Updates: Diamond Platnumz na Zari wapata mtoto wa kiume

Watanzania kwa unafiki tunaweza kuongoza, unaweza kukuta wewe ni wa 6 au wa 7 kuzaliwa kwenu, hujawahi kumshangaa mama yako ila zari kuzaa mtoto wa 5 mnaona ajabu. Mungu anatuona.
unafiki UPI?

aolewe basi dah!namuonea huruma kweli..maana kwa sheria za dini daimomd hao si watoto wake
 
Au mwenzetu uchungu wake sio mkali sana mana navoujua ule mchakamchaka si kwa kujipodoa vile
 
mtoto wa zinaa huyo ndo anasubiriwa...
uwezo wa kufunga ndoa wanao ila sheitwan kawatawala vichwan huku wakiendelea kufyatua watoto wa haramu...

Diamond na Zurina kwanini hawafungi ndoa na uwezo wanao?
Wew mwenyew mtoto wa zina ndo mana chuki imekutawala
 
Hongera kwao,..ila bibie kwa kutaga nomaa...siku akizaa na kisu nadhani atafunga mirija..ukizaa natural complications ni chache.,
Wenzetu wa mbele washasahau mambo ya kuzaa kwa kisu cc bado tupo nyuma sana na Anko magu wetu
 
Hivi hii bongo IPO maana naonaga huko mbelezi wanachomwa ukichanganya so hawaumii ka wa kibongo kavu kavu yani loh!
Kibongo bongo bado sanaa we ushangai mpaka leo tunazaa kwa kisu na wenzetu washasahau mambo ya kisu labda mama awe na matatzo au mtoto azaliwe kabla ya cku
 
Back
Top Bottom