Updates: Diamond Platnumz na Zari wapata mtoto wa kiume

jerry joshy

JF-Expert Member
Jul 8, 2015
402
504
Moja kwa moja kutoka Pritoria tupo hapa nje tunamsubiri Chibu Junior. Tumuombe MUNGU ATOKE SALAMA.

MUNGU AWABARIKI MAMA NA MTOTO.

------ Updates -------
Hatimaye Zari na Diamond wamefanikiwa kupata mtoto wa kiume aliyezaliwa saa 10:35 alfajiri kwa saa za Afrika Mashariki, Jumanne, December 6.

Mtoto huyo amezaliwa kwenye hospitali ya NETCARE ya Pretoria nchini Afrika Kusini.

Diamond na Zari wameonesha furaha kwa ku-share picha za mtoto kwenye mitandao yao ya kijamii...




1.jpg


2.jpg


3.jpg


4.jpg


5.jpg
 
Back
Top Bottom