Updates: Diamond Platnumz na Zari wapata mtoto wa kiume

Haya ndiyo mawazo bora ya mwafrica 2016! wee jamaa utakuwa maskini wa akili unakusumbua

wewe ndio mawazo ya kiafrika kabisa kwamba kila Mtoto anakuja na riziki yake wapi angalia uwezo wako wa kusomesha na kumlea usije wapa Tabu jamaa zako kutwa kuomba misaada zaa ili uweze kuwalea
 
Kutiwa ana tiwa yeye,mimba anabeba yeye,kuzaa anazaa yeye.wewe unaumizwa na nini?wakati wewe hata mtoto mmoja hauna.mimba umetoa mpaka kizazi kimetoka.alafu unakuja kumsema mwenzenu anayezaa.mwacheni azae.mayai yana mwisho wake.na uwezo pia anao wa kuwalea.
 
maxresdefault.jpg
 
mondy akimbize mpaka wafikie gwala...kila mwaka.aweke tuu!!.....noti si ipo watoto watasoma tuu.....bhana..
 
Back
Top Bottom