Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 26,063
- 23,946
Alifariki lini Kardinali Rugambwa.
soma vizuri maelezo hapo juu utaelewa..
Alifariki lini Kardinali Rugambwa.
mwaka 199,december,kama ni swali la kejeli utapata zawad yako kabla jua halijazama leo!!!!!
Kwa taratibu za kanisa katoliki maaskofu wote huzikwa ndani ya kanisa hivyo hata kwa yeye ni vivo hivyo na ni utaratibu wa kawaida sana si mpya Tanzania.
Uwe na heshima kwenye mambo ya iman maana huchelewi kuleta mambo yako ya kejeli ya uccm ccm!!!!!
vipi WANYAKYUSA wamekodiwa kuja kunogesha SHUGHULI!!!!!
hivi nikuulize mie nimefanya kejeli gani?
Wee vipi. Usilete mzaha kwenye imani za watuvipi WANYAKYUSA wamekodiwa kuja kunogesha SHUGHULI!!!!!
nenda ukahiji uganda, kwa mashahidi wa uganda NAMUGONGO, uone kaburi lao walilozikwa kwa pamoja ndani ya kanisa wote ambao walichomwa moto, si wale waliofia njiani hapana!Sasa kanisa linachimbwa kaburi ndani au vipi Mkuu, nauliza maana sijawahi kusikia hilo.
Sijawahi enda kanisa lolote nikakuta kaburi ndani yake, vipi hii ni mara ya kwanza jambo kama hilo kutokea Tanzania?
vipi WANYAKYUSA wamekodiwa kuja kunogesha SHUGHULI!!!!!Wee vipi. Usilete mzaha kwenye imani za watu
Unamjibu wa nn..kila kitu kimeandikwa?8[SUP]th[/SUP] December 1997 at 22.15 hours. I hope this question has its meaning!!
Get it out broda.
We utaulizaje jibu, kama siyo kejeli kwani hukuona hapo juu.Hivi nikuulize mie nimefanya kejeli gani?
Mbona unanitisha mie nimemuliza kufahamu naona mwenzangu unaleta vitisho.
Inawezekana pia maana sehemu nyingi nilizotembelea nilikuta hivyo,asante kwa kunijuza pia.sio maaskofu wote sansana ni kwa maaskofu wa kwanza wa jimbo huska
Sasa kanisa linachimbwa kaburi ndani au vipi Mkuu, nauliza maana sijawahi kusikia hilo.