UPDATE Maandalizi ya maziko ya Kardinali Rugambwa kesho

Kwa taratibu za kanisa katoliki maaskofu wote huzikwa ndani ya kanisa hivyo hata kwa yeye ni vivo hivyo na ni utaratibu wa kawaida sana si mpya Tanzania.

sio maaskofu wote sansana ni kwa maaskofu wa kwanza wa jimbo huska
 
Wapendwa Tukio la kuzikwa kwa kardinal wa kwanza mwafrika kardinal Rugambwa litafanyika kesho aktika kanisa kuu katoriki la Bukoba.Kama mungu akipenda ninataweza kuwajuza LIVE tukio hilo ambalo litakusanya watu ELFU 40 kutoka mataifa mbalimbali duniani.Lakini pia una uwzekano wa kuwa na shughuli ya kuandaa kipindi cha TV kutoka pale hivyo kama jukumu hilo la kuandaa TV program litakuwepo basi sitaweza kuwajuza kitachokuwa kikiendelea lakini keep watching....Mda mfupi nimepita hapo nilicjokuta kikiendelea ni hiki hapMa chini.
 

Attachments

  • DSC00158.JPG
    DSC00158.JPG
    710.9 KB · Views: 191
  • 1.JPG
    1.JPG
    63.1 KB · Views: 153
  • 3.JPG
    3.JPG
    65 KB · Views: 104
Sasa kanisa linachimbwa kaburi ndani au vipi Mkuu, nauliza maana sijawahi kusikia hilo.

Sijawahi enda kanisa lolote nikakuta kaburi ndani yake, vipi hii ni mara ya kwanza jambo kama hilo kutokea Tanzania?
nenda ukahiji uganda, kwa mashahidi wa uganda NAMUGONGO, uone kaburi lao walilozikwa kwa pamoja ndani ya kanisa wote ambao walichomwa moto, si wale waliofia njiani hapana!
 
Ritz bwana mbwembwe zote kumbe kiingereza hujui
mtoa mada alishaweka kila kitu wewe ni kusoma na kuelewa
kama huji lugha basi ni mvivu wa kusoma na unadhihirisha picha halisi ya
magamba wenzio wanao weka sahihi katika mikataba bila kusoma.
 
Mbona unanitisha mie nimemuliza kufahamu naona mwenzangu unaleta vitisho.

hahaa haaa, yaani anakwambia utaipata kabla jua halijazama du! Nimependa huo mkwara hadi wewe mwenyewe umetishika. Zamani tukiwa shule kama zinataka kupigwa basi mpambe mmoj anajitokeza kuchora mstari halafu anasema anayeweza avuke na mpambano unaanza. Nadhani nawe Ritz ungemjiu kwa mkwara kwamba ataona kabla asubuhi haijafika.
 
Sasa kanisa linachimbwa kaburi ndani au vipi Mkuu, nauliza maana sijawahi kusikia hilo.

Sijawahi enda kanisa lolote nikakuta kaburi ndani yake, vipi hii ni mara ya kwanza jambo kama hilo kutokea Tanzania?

Kaburi linachimbwa ndani ........ Askofu wa kwanza jimbo la Arusha Askofu Denise Darning amezikwa kanisani ndani na hiyo ni kwa muda pindi Cathedral litakapokamilika kujengwa atahamishwa na kuzika ndani ya kanisa
 
Sasa kanisa linachimbwa kaburi ndani au vipi Mkuu, nauliza maana sijawahi kusikia hilo.

Sijawahi enda kanisa lolote nikakuta kaburi ndani yake, vipi hii ni mara ya kwanza jambo kama hilo kutokea Tanzania?

Ndio hivyo Mkuu wala usishangae kwa Askofu kuzikwa Kanisani. Mbona wengine wakifa "hukamuliwa" ndani? Nyumba kibao hapa mtaani kwetu zina viraka sakafuni.
 

Similar Discussions

9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom