UPDATE Maandalizi ya maziko ya Kardinali Rugambwa kesho

KAUDO

Senior Member
Aug 10, 2011
138
67
KANISA 2.jpg rugaaa.jpg

Kanisa jipya atakalozikwa rasmi,baada ya mwili wake kuhamishwa katika kaburi la muda lililopo kanisa la Kashozi.

Maziko yataanza saa kumi jioni na yatahudhuliwa na Waziri Mkuu Mizengo Pinda.

JF Itakuwa hewani hatua kwa hatua kesho kufuatlia matukio yote.
His Eminence Laurean Cardinal Rugambwa
The First African Cardinal
(1912 - 1997)
He was born on 12[SUP]th[/SUP] July 1912, in of an aristocratic family Bukongo village, Rutabo Parish, Bukoba, North west of Tanzania on the bourder with Uganda. After his Secondary school education at Rubya Junior Seminary and his Philosophy and Theology studies at Katigondo major Seminary in Uganda, he was ordained priest on 12[SUP]th[/SUP] December, 1943. After years of pastoral work, in 1948 he was sent to Rome for higher studies. He got his doctorate in Canon Law at the Urban University.
On 16[SUP]th[/SUP] December 1951, Fr. Rugambwa was nominated Apostolic Vicar of Lower Kagera. He was ordained Bishop on 10[SUP]th[/SUP] February 1952. In 1953 the vicariate was raised to a diocese of Rutabo. The diocese was run by an exclusively African clergy, they were 18, all determined to prove themselves. They managed with little financial support as they had little outside contacts.
Under him with success they organised the people to support their diocese. In recognition of these successful efforts, Pope John XXIII elected him the first African cardinal in history in March 1960. The same year cardinal Rugambwa was transferred to Bukoba diocese. He participated in the Second Vatican Council.
Due to his contributions he was published as one of the eminent personalities of the council. After that he worked in a number of pontifical commissions. In his diocese he organised people into social guilds and trained many people both locally and abroad both men and women.
A number of them were destined to hold important posts of leadership in the country. By 1969 he had developed the diocese both spiritually and materially through hospitals and schools. Among the hospitals are counted Rubya Hospital and Mugana Hospital, among the schools is the major seminary of Ntungamo and the girls secondary school called after him, 'Rugambwa secondary school'.
In 1969 he was nominated the Archbishop of the Capital city of Tanzania Dar es Salaam. He was its pastor till 1992 when he retired at 80 years. Here he introduced religious from different congregations both men and women. This helped him to open many parishes in the predominantly Moslem city. He built its first catholic hospital at Ukonga. At the end he founded a women religious congregation for Dar es Salaam, the Little Sisters of St. Francis of Assisi.
Both in Bukoba and Dar es Salaam he was the undisputed leader of all religious denominations, the catholics, protestants and moslems. They all accepted his leadership in comon negotiations with the government. All governments respected him and took seriously his word.
His Eminence Cardinal Laurean Rugambwa died on 8[SUP]th[/SUP] December 1997 at 22.15 hours. His body was laid to rest in the church at kashozi the first mission in Kagera region, north of Tanzania. A good devotion has developed around his tomb with people coming from far to pay their homage and say a prayer. It will be transferred to the Cathedral church once the repairs are finished.
He is remembered for his simplicity, pastoral concern especially for the spiritual and social needs of the people, and his solicitude for the pastoral workers. His relations with all including the government officials was amiable. He has left a rich legacy to all especially in the places he has worked.
 
Attachments

  • KANISA.jpg
    KANISA.jpg
    49.3 KB · Views: 216
hivi kuna umuhimu wowote kumzika upya? hapo alipokuwa alikuwa hajapumzika kwa amani? napenda kujua tu na sio uchokozi...
 
shule Rugambwa nakufurahia mlezi mama na rafiki yangu,RIP babu mkuu
 
Atazikwa ndani ya kanisa mkuu? au sijaelewa?
sio kwamba huduma ya kuaga mwili itafanyika hapo kanisa tajwa?
 
View attachment 67194View attachment 67195

mode hii mada si mahala pake apa ihamishie kwenye jukwaa husika
 
Atazikwa ndani ya kanisa mkuu? au sijaelewa?
sio kwamba huduma ya kuaga mwili itafanyika hapo kanisa tajwa?
anazikwa ndani ya kanisa uko ndani kabisa hiyo ni mila na desturi yao.
 
Sasa kanisa linachimbwa kaburi ndani au vipi Mkuu, nauliza maana sijawahi kusikia hilo.

Sijawahi enda kanisa lolote nikakuta kaburi ndani yake, vipi hii ni mara ya kwanza jambo kama hilo kutokea Tanzania?
 
Mdos please kuepushwa watu kula ban, hamisha hili peleka kule, wastaarabu ndo wanaweza ingia!!!
 
Kwa taratibu za kanisa katoliki maaskofu wote huzikwa ndani ya kanisa hivyo hata kwa yeye ni vivo hivyo na ni utaratibu wa kawaida sana si mpya Tanzania.
 
Sasa kanisa linachimbwa kaburi ndani au vipi Mkuu, nauliza maana sijawahi kusikia hilo.

Sijawahi enda kanisa lolote nikakuta kaburi ndani yake, vipi hii ni mara ya kwanza jambo kama hilo kutokea Tanzania?
ndio kaburi linakuwa ndani hii nimaalumu sana kwa waasisi wa kanisa katoliki ie wenye vyeo hivyo vya ukadinali,pia sio mara ya kwanza kuna sister mmja hivi naye alifukuliwa akazikwa upya kama sikosei this year or last year,kwani mbona mutharika alizikwa ndani kwake sio ajabu ndugu ni taratibu tu walizojiwekea.
 
Mdos please kuepushwa watu kula ban, hamisha hili peleka kule, wastaarabu ndo wanaweza ingia!!!
wacha watu waulize mkuu ni vitu vipo kawaida tu na ni desturi ya wakatoliki kwani kuna shida gani au asiyejua haambiwi maana?
 
Mkuu huku watu wamepinda, hata ma mimi najua. Humu kuna jukwaa la dini, iliwekwa hivyo ili kuheshimiana katika majadiliano!!!
 
haya mkuu nimekuelewa hapa watu watachangia kisiasa zaidi eeeeeeee,
 
Back
Top Bottom