senyaely jr
New Member
- May 7, 2013
- 3
- 0
ero umenena hapa tz nw 2na presicion air na fast jet
Ule uzio uliozungushiwa mabati naona mabati yanazidi kuondoka siku hadi siku... zimebakia milingoti ya chuma tu... uwanja upo mweupe hapo sasa madawa yatashindwa kupitishwa?Exterior View
This roof's design is inspired by sailing boats (ngalawa) na sio warehouse! It replaces the former tanzanite roof design previousely poroposed by the Chinese developers.
Picha sita za muonekano wa jengo jipya la uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere (JNIA) baada ya ujenzi kukamilika
Harakati za maandalizi ya ujenzi wa jengo jipya (Terminal 3) la uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), zimekuwa zikiendelea polepole hali inayowatia shaka wadau wengi wa sekta hii ya usafiri wa anga. Kuanza kwa ujenzi wa jengo hilo ni jambo linalosubiriwa kwa hamu kubwa na wadau wa sekta ya usafiri wa anga kwani kukamilika kwa jengo hilo kunategemewa kuleta mabadiliko makubwa sana katika huduma zitolewazo na kuleta ufanisi mkubwa katika huduma za usafiri wa anga na hatimae kukuza uchumi wa nchi.
Hivi karibuni wataalamu na mafundi wa kampuni iliyopewa zabuni ya kujenga jengo hilo, kampuni ya BAM ya Uholanzi, walionekana wakifanya maandalizi ya mwanzo ya ujenzi huo ikiwa ni pamoja na kuzungushia uzio baadhi ya maeneo, upimaji wa ardhi na kubandika michoro yenye kuonesha jinsi taswira ya jengo hilo itakavyokuwa.
Mtandao wa Aviationtz umeshare picha zifuatazo zikionyesha maeneo mbalimbali ya jengo hilo pamoja njia za ndege.
DAR ES SALAAM | Julius Nyerere International Airport Terminal III | U/C - Page 7 - SkyscraperCity
I think its U/C now hatua za mwanzo
Tunatakiwa tujenge uwanja kwanza halafu ndege ndio zitakuja.
kampuni hiyo iliyojenga uwanja wa schipol (amsterdam) ninaiamini. ila kwa mchoro, naona ule mchoro wa wachina ulikuwa bora zaidi kuliko huu hapa.
Ramani ya kwanza ya Mchina ilikuwa kali sana hapo tumepigwa changa la macho hamna kitu
angalia hii kitu wenzetu wakenya wanajenga,jomo kenyataHuu mchoro ni mbaya mno, litakuwa kama godown, ule mchoro wa wachina unapendeza na ni mzuri. Hawa waholanzi wanaleta mchoro wa godown lililolembwa! Wahusika toeni takataka hii katika karne ya Sayansi na Technolojia.