Jethro
JF-Expert Member
- Mar 23, 2009
- 2,219
- 370
Nasikia huko Arusha Chadema wamejipanga mbaya kila Batilda anapo pita wapo nyuma wana kula saani mmoja nae
Pia twaambiwa Daladala za kuho a.k.a Vi Ford vimejaaaa bendera za CHADEMA USIPAIME na CCM ndio kidogo na kumesikika kuwa CHADEMA WAO HAWATOI PESA NI WANANCHI NDIO WANAO WAFUATA KWA MVUTO.
ILA CCM WAO NI KUMWAGA PESA TUUU NA WAMEJITENGA MAKUNDI YA KUFA MTUU MAMA YANGU BATILDA ANAWAKATI MGUMU SANA HUKO
Ila huo mkoa kati ya CCM na CHADEMA viongozi walio wekwa wote hawakubaliki sana kwani kuna mtu anaitwa KIBOLA nasikia hata wagombea waliopo kwenye kinyang'anyiro wana mgwaya kwa siasa na kichwa imetulia na ni mtu wa vitendo ila kwa sababu ya tamaaa zao na njaaa zao wamempoteza mbunge mzuri.
Ngoja sie tupalangane na huku wa kwetu Nyamagana teh teh