Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 118,225
- 219,400
Tazara Makao Makuu Dar es salaam ilikuwa sehemu nzuri sana ya kupendeza , na hasa usiku , kwa yale mataa mazuri yaliyozunguka ofisi hizo , inasemekana yaliwekwa na Wachina .
Sasa inaonekana yote ni kama yamezima kutokana na balbu kuungua , yapo yaliyozima yapata miaka 10 sasa , yaani kubadili balbu kunachukua miaka zaidi ya 10 ! hii ni aibu kubwa kwa uongozi wa shirika hilo .
Ikiiwa shirika kubwa kama hili linashindwa jambo dogo kama hili litaweza nini ?