Uongozi Mpya wa CHADEMA kuelekea Uchaguzi Mkuu 2010

Kujiunga Chadema sasa ni kwa simu ya mkononi na mchango ni 300 tuu kwa mwezi.

Duh, hii kali. Lakini naona wamechelewa sana kuianza hii, wamesubiri hadi Zito ameshamwaga mtama penye kuku wengi. CHADEMA sasa inaonekana ziii kabisa, labda wawateme kwanza Zito na Mbowe ndipo 'kitaeleweka', lakini kwa sasa nimekata tamaa nao kabisa.
 
Pasco asante sana, ripoti tu kama mwandishi maana kama mCHADEMA unaonesha uko biased.

Selous, bahati mbaya mimi sio Mchadema, na wala pia sio mwandishi, na sio mshabiki wa chama chochote cha siasa, bali mshabiki wa demokrasia ya kweli ndani ya bunge, ndio maana nakikubali sana Chedema na CUF ziongeze wabunge kupunguza ukiritimba wa CCM Bungeni japo kwenye urais kwa 2010 bado, labda 2015.
 
Samahani mkuu. Huo sio mkutano wa hadhara?
 
Selous, bahati mbaya mimi sio Mchadema, na wala pia sio mwandishi, na sio mshabiki wa chama chochote cha siasa, bali mshabiki wa demokrasia ya kweli ndani ya bunge, ndio maana nakikubali sana Chedema na CUF ziongeze wabunge kupunguza ukiritimba wa CCM Bungeni japo kwenye urais kwa 2010 bado, labda 2015.

sio mwanachama,sio mwandishi wa habari,sio shabiki,bali ni mshabiki wa demokrasia ya kweli,sasa huo mkutano mkuu umeingia kama shabiki wa demokrasia au kuna sifa nyingine haijatajwa ya wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema?
 
Mke wa Mbowe alibainisha kuwa yeye siyo mwanasiasa ila ni Chadema damu. Aliyemleta duniani ndiye muasisi wa Chadema na yule Mungu aliyamchagulia ndiye mwenyekiti wa Chadema sasa.
Poor Tanzania!
Yaani mambo ya uongozi ndani ya Chadema tayari yameshaunganishwa na mambo ya uumbaji!!! We're politically doomed kwa kweli....!
 
Behind any successful man there is a woman.Kubali,ukatae habari ndio hiyo!

Lakini hujasema ni kitu gani anafanya huyo mwanamke behind the successful man. Wanawake wengine wako behind the successful man ili wamchune. Na wapo wanaokaa nyuma ya huyo successful man wakishangaa kutwa nzima kuwa huyu anafanikiwa vipi, mbona namwona zezeta tu? Na wengine wanawashangaa ninyi mnaosema kuwa wanaume wao ni 'successful man'!
 
Selasin kajiunga juzi tu tayari ni mjumbe? Kwa kuwa ni MCHAGA?

Selasini yeye ni MC sidhani kama ni mjumbe wa mkutano mkuu ila ilichofanya Chadema imealika wakereketwa wake kuhudhuria kama watazamaji tuu.Pia nimemuona Rwakatware ukumbini, amepiga vazi la Kimbowe-Mbowe (Combat) imentoa kweli.Kwa mtazamo wangu, Selasini na Rwakatare power zao zinafahamika, hivyo kupatiwa nafasi za juu ni halali yao, japo madhara pekee ni kwa wale wana watiifu kunyong'onyea mwana mpotevu alipofanyiwa party.
 
Lakini hujasema ni kitu gani anafanya huyo mwanamke behind the successful man. Wanawake wengine wako behind the successful man ili wamchune. Na wapo wanaokaa nyuma ya huyo successful man wakishangaa kutwa nzima kuwa huyu anafanikiwa vipi, mbona namwona zezeta tu? Na wengine wanawashangaa ninyi mnaosema kuwa wanaume wao ni 'successful man'!

Hapa inategemea sana na definition ya successful.Mara nyingi sana huyo anayeruhusu achunwe hana hata sifa ya kuitwa successful kwa kuwa hayuko makini.Na kama ni Kiongozi analazimisha tu kipaji ambacho si chake.Na wanaume wanaokuwa na bahati mbaya ya kupata wanawake wasio na hekima ya kujua nafasi zao,huwa wanatumia nguvu za ziada ili wawe successful.Yani hata ile kumfariji na kumhudumia vema mumewe inasababisha mafanikio makubwa katika maendeleo ya mwanaume.
 
Mkutano ulikuwa kwenye lunch break, sasa wanarudi ukumbini kuanza serious bussiness, sidhani kama naweza kuendelea kuweko, sasa ni kwa wanachama hivyo nimeonelea heri nijifukuze mwenyewe kuliko kusubiri kufukuzwa, naamini kuna wanaDema wengi tuu ambao ni ma member humu jamvini, naomba muendeleze.Hotuma ya Mbowe ninayo ni tabu zima, nitajaribu kuiscan na kuwatumia, ingawa naamini invicible anaweza pata soft copy.Asanteni sana na mchana mwema.
 
Selasini yeye ni MC sidhani kama ni mjumbe wa mkutano mkuu ila ilichofanya Chadema imealika wakereketwa wake kuhudhuria kama watazamaji tuu.Pia nimemuona Rwakatware ukumbini, amepiga vazi la Kimbowe-Mbowe (Combat) imentoa kweli.Kwa mtazamo wangu, Selasini na Rwakatare power zao zinafahamika, hivyo kupatiwa nafasi za juu ni halali yao, japo madhara pekee ni kwa wale wana watiifu kunyong'onyea mwana mpotevu alipofanyiwa party.

Mkuu Pasco,
Hapa tupo pamoja. Kuna watu wako Real Madrid tangu wana barehe. Amefika leo C. Ronaldo, kachukua nafasi yao. Hamna hata ya kukaa benchi azowee kidogo. Lazima tukubali kuwa binadamu tumepishana na hamna cha huyu Mzungu au huyu Mpingo au huyu Mchaga. Magufuli au Mwakyembe wakienda Chadema leo, huwezi utegemee wakae viti vya nyuma. Nikienda pale mie, nitawekwa nyuma kabisa na itabidi nianze kupigana kujenga jina langu kwa siku ziendavyo.
 
Mke wa Mbowe alibainisha kuwa yeye siyo mwanasiasa ila ni Chadema damu. Aliyemleta duniani ndiye muasisi wa Chadema na yule Mungu aliyamchagulia ndiye mwenyekiti wa Chadema sasa.

Hehehehehe! Oooh dear! Chadema chama cha "WANANCHI". May God have Mercy!
 
Mkutano ulikuwa kwenye lunch break, sasa wanarudi ukumbini kuanza serious bussiness, sidhani kama naweza kuendelea kuweko, sasa ni kwa wanachama hivyo nimeonelea heri nijifukuze mwenyewe kuliko kusubiri kufukuzwa, naamini kuna wanaDema wengi tuu ambao ni ma member humu jamvini, naomba muendeleze.Hotuma ya Mbowe ninayo ni tabu zima, nitajaribu kuiscan na kuwatumia, ingawa naamini invicible anaweza pata soft copy.Asanteni sana na mchana mwema.

Ubarikiwe!
 
Mkuu Pasco,
Hapa tupo pamoja. Kuna watu wako Real Madrid tangu wana barehe. Amefika leo C. Ronaldo, kachukua nafasi yao. Hamna hata ya kukaa benchi azowee kidogo. Lazima tukubali kuwa binadamu tumepishana na hamna cha huyu Mzungu au huyu Mpingo au huyu Mchaga. Magufuli au Mwakyembe wakienda Chadema leo, huwezi utegemee wakae viti vya nyuma. Nikienda pale mie, nitawekwa nyuma kabisa na itabidi nianze kupigana kujenga jina langu kwa siku ziendavyo.

Mkuu Sikonge,

Nakubaliana na wewe hapa, ila hata wewe nadhani wanakutambua mchango wako kwa hiyo utapata nafasi stahili, by the way ukialikwa harusini si tumeambia usipende kukaa kiti cha mbele? watakuja kukuvuta uende meza kuu tu!
 
Back
Top Bottom