Maryam Malya
Senior Member
- Nov 29, 2021
- 115
- 258
Ule msema wa mtaka vyote kwa pupa hukosa vyote ndo kinachokwenda kumtokea Mwenyekiti wa Chadema Freeman Elikaeli Mbowe na Makamu mwenyekiti wake Tundu Antipas Lissu kwa kile kinachoonekana Sintofahamu baina yao kutokana na Nani atakiwakilisha chama katika Uchaguzi Mkuu 2025 kwa nafasi ya URais!!!!
Kumekuwa na misuguano inayoendelea mara kadhaa kwa kutofautiana kauli baina yao jambo ambalo linashangaza kiongozi Mkuu kama Mwenyekiti wa Chama na Makamu kutokuwa na kauli moja ndani ya Chama kwa kila mmoja kutaka kuonyesha ukubwa wake hahaahahah inastaajabisha
Sasa hilo limeenda mbali zaidi ambapo Mbowe ameendelea kutumia Ubabe kwa kuwa Chama ni Chake na nafasi yake kama Mwenyekiti wa Chama kutaka nafasi zote ya Uenyekiti na sasa ameanza harakati zake za Kampeni za Urais 2025 kupitia Chadema
Wadau wamejiuliza mengi huko mitandaoni hili linawezekana vipi Mtu mmoja kutaka nafasi zote peke yake lakini pia Lisssu hakutarajia haya kwani yeye anajua ndiye atakayekiwakilisha Chama hicho kwenye Uchaguzi 2025 huku Mbowe kamgeuga na sasa anataka yeye ashike nafasi zote ili aendelee na ubabe na ubadhirifu unaonendelea ndani ya Chadema bila kuhojiwa na yeyote sababu kikawaida kinachokwenda kutokea Lissu ataachia ngazi kama Makamu mwenyekiti na ameshaanza mpango wa kuanzisha chama chake ili apate nafasi ya Uenyekiti na Hatimaye kuwa Mgombea Urais jambo ambalo kwa CHADEMA limeshindikana mpaka sasa
Hebu tizama maoni ya ya watu mbali mbali mtandaoni wakihoji juu ya nia ya Mbowe kutaka kuwania nafasi ya Urais 2025!!!