Uongo mwingine noma

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,231
UONGO MWINGINE HATA
HAUFAI....
Jamaa: Unasoma?
Demu: Hapana sisomi, vipi
wewe
unasoma?
Jamaa: Ndo nipo kidato cha
nne
Jangwani.
Demu: Jamani hiyo si shule
ya
wasichana?
Jamaa: Aaah sory
nimechanganya
nipo Kisutu
Demu: Mwee mbona nayo
ya
wasichana...
Jamaa: haaah aaah
nilikuwa
nakutania tu nachukua
masters IFM.
Demu: Mh ina maana IFM
imeanza
kutoa masters?
Jamaa: Ishia zako demu
mwenyewe
hulipi wala nini...unaniuliza
maswali
kama tupo uhamiaji? KWA
TAHARIFA YAKO NACHUKUA
DEGREE
YA UDAKTARI CBE
 
UONGO MWINGINE HATA
HAUFAI....
Jamaa: Unasoma?
Demu: Hapana sisomi, vipi
wewe
unasoma?
Jamaa: Ndo nipo kidato cha
nne
Jangwani.
Demu: Jamani hiyo si shule
ya
wasichana?
Jamaa: Aaah sory
nimechanganya
nipo Kisutu
Demu: Mwee mbona nayo
ya
wasichana...
Jamaa: haaah aaah
nilikuwa
nakutania tu nachukua
masters IFM.
Demu: Mh ina maana IFM
imeanza
kutoa masters?
Jamaa: Ishia zako demu
mwenyewe
hulipi wala nini...unaniuliza
maswali
kama tupo uhamiaji? KWA
TAHARIFA YAKO NACHUKUA
DEGREE
YA UDAKTARI CBE

hahahhahaaa jamaa mjini gafla kinoma!
 
IFM wanatoa masters nyie za FINANCE, IN INTERNATIONAL BUSINESS, NA YA INFORMATION TECHN AND MANAGEMENT.
 
UONGO MWINGINE HATA
HAUFAI....
Jamaa: Unasoma?
Demu: Hapana sisomi, vipi
wewe
unasoma?
Jamaa: Ndo nipo kidato cha
nne
Jangwani.
Demu: Jamani hiyo si shule
ya
wasichana?
Jamaa: Aaah sory
nimechanganya
nipo Kisutu
Demu: Mwee mbona nayo
ya
wasichana...
Jamaa: haaah aaah
nilikuwa
nakutania tu nachukua
masters IFM.
Demu: Mh ina maana IFM
imeanza
kutoa masters?
Jamaa: Ishia zako demu
mwenyewe
hulipi wala nini...unaniuliza
maswali
kama tupo uhamiaji? KWA
TAHARIFA YAKO NACHUKUA
DEGREE
YA UDAKTARI CBE

hahahaha jamaa ana sifa za kijinga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom