Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,426
- 18,233
UONGO MWINGINE HATA
HAUFAI....
Jamaa: Unasoma?
Demu: Hapana sisomi, vipi
wewe
unasoma?
Jamaa: Ndo nipo kidato cha
nne
Jangwani.
Demu: Jamani hiyo si shule
ya
wasichana?
Jamaa: Aaah sory
nimechanganya
nipo Kisutu
Demu: Mwee mbona nayo
ya
wasichana...
Jamaa: haaah aaah
nilikuwa
nakutania tu nachukua
masters IFM.
Demu: Mh ina maana IFM
imeanza
kutoa masters?
Jamaa: Ishia zako demu
mwenyewe
hulipi wala nini...unaniuliza
maswali
kama tupo uhamiaji? KWA
TAHARIFA YAKO NACHUKUA
DEGREE
YA UDAKTARI CBE
HAUFAI....
Jamaa: Unasoma?
Demu: Hapana sisomi, vipi
wewe
unasoma?
Jamaa: Ndo nipo kidato cha
nne
Jangwani.
Demu: Jamani hiyo si shule
ya
wasichana?
Jamaa: Aaah sory
nimechanganya
nipo Kisutu
Demu: Mwee mbona nayo
ya
wasichana...
Jamaa: haaah aaah
nilikuwa
nakutania tu nachukua
masters IFM.
Demu: Mh ina maana IFM
imeanza
kutoa masters?
Jamaa: Ishia zako demu
mwenyewe
hulipi wala nini...unaniuliza
maswali
kama tupo uhamiaji? KWA
TAHARIFA YAKO NACHUKUA
DEGREE
YA UDAKTARI CBE