Statarea
JF-Expert Member
- Dec 11, 2018
- 891
- 1,277
Mbona neno chuki limekutawala sana mvaa vipedo?Hiyo ndiyo shida ya waswahili, kwani hapa tunabishana??!, , Kama kwangu umeshindwa je hao wakubwa zangu utawaweza??.
Wewe umepofushwa na chuki dhidi ya Uisilamu, mahala pa kutumia logic ili ujue ukweli wewe unapandikiza chuki.
Na Mimi pia nilitaka kukuonyesha kwamba naweza kupanda chuki dhidi ya Ukristo jinsi ulivyopanda chuki dhidi ya uislamu.
Aya ulizo nukuu 23:6 na 70:30 kutoka katika Qur'an kama msingi wa hoja yako ya uongo ya "utumwa wa ngono", aya zenyewe zinasema;-
"Isipokuwa kwa wake zao au kwa wale iliyowamiliki mikono yao ya kuume, basi hakika hao ndio wasiolaumiwa."
Hapo lliitakiwa uwajue wale waliomilikiwa na mikono ya kuume ni nani??, Hao ni mateka wa kivita ambao walikubali kwa hiyari yao kuwa Waislamu hivyo wakawa na haki ya kuolewa, kwasababu Muislamu haruhusiwi kuoa asiyekuwa muislamu.
Ndiyo maana nikataka kwa ufafanuzi zaidi usome aya hizi:- 2:221 na 24:32. Ili upate picha halisi.
Juu ya yote acha chuki dhidi ya uislamu bila sababu.
Generally hatreds blindfold ones sense of understanding and wisdom.
Utumwa ni kanuni ya sheria za kiislamu.
Uharibifu ni kanuni ya sheria za kiislamu.
o9:15 it is permissible in jihad to cut down the enemy trees and destroy their dwellings.
Siku zote huwa tunasema Islam ni dini ya violence mnakataa embu soma
o9:14 When an adult male is taken captive (in jihad) the caliph considers the interest of Islam and muslims and decides between the prisoners death, slavery, release without ransoming himself in exchange for money or muslim captive held by enemy.
Kumbuka chochote kilichoandikwa kwenye koran hakibadiliki japo nafahamu kila muislamu anaweza kutafsiri aya fulani kivyake na mwingine kivyake.
Mfano koran 41:44 kila mtu anaweza itafsiri kivyake ila maana yake ili tu muionyeshe dini yenu kuwa ya namna fulani ila maana ya msingi itabaki palepale.
Kataa au kubali
1.allah karuhusu ndoa kwa mtoto mdogo wakike.
2. Allah kasema mwanamke hana akili kumzidi mwanaume.
3. Wazinifu wapigwe mawe hadi kufa.
4. Atakaye mtukana Muhammad auwawe.
5. Watu wasioamini uislamu ni wahovyo kuliko wanyama.
6. Allah kaelekeza namna ya kuwafanya watumwa wa ngono.
7. Allah hapendi sanaa.
Tutamalizia na suala la Ezra