Unyanyapaa wa Chadema

Wacheni ulimbukeni yaani mnajificha kwa kutafuta yasiyohusika,najua nimewagusa vibaya sana ,na zaidi nyie wafuata upepo na wapiga debe mna tabu sana hapa JF,yaani kama mimi ndio mode hawa wenye majibu yasioeleweka,ningewavunja vidole na kuwatia upofu ,wasiione JF kama mwezi hivi.

Suali lipo wazi ,ni kujibu tu hii Nchi mnaipeleka wapi ikiwa leo hamjui mtendalo,magwanda mazito ,mnatuonyesha ubabe au sio ,CCM yao ya kijani nyie yenu makaki mnataka kuifanyia makeniki na ukarabati hii nchi.

hayo magwanda huvaliwa na madikteta na sera za unyanyapaa pale bungeni na kuvikandia vyombo vya dola ni ishara mbaya za utawala wenu,hivi mtaunda jeshi jipya na usalama mpya ,mmewaahidi wangapi pale usalama wa Taifa kuwapa ulaji ,mnaipeleka nchi hii kubaya zaidi ya hapa tulipo.
halafu hawa hawa cdm wazificha ofisi za meli iliyo zama na waliingilia hazina ili kupandisha bei ya mafuta ya taa kuwa juu zaidi kuliko hata ya gari
 
Naona jinsi wanachama na wapenzi wa CCM mnavyochangia ,halafu ndio mpewe nchi ,ni bora CDM ikazuia hapohapo ,bado hamjafikia kuachiwa nchi mkaongoza ,mmechooka kwelikweli ,hamna kitu vichwa vitupu na mawazo mgando ,angalau mmepata cha kuandika.

Haya subirini 2015 ,mushuhudie CDM inavyoibuka kidedea.na ndio mwisho wa CCM.

Yule dogo ninoma jana alipopanda jukwaani ukumbi ulilipuka kwa vilio,kila mtu anasema kwenye meli kuna ndgu yake.
 
Chadema inaonekana kuwa makini sana pale bungeni na hata kwenye mahojiano na vyombo vya habari na wamekuwa hawasikii ,wakiambiwa wakielekezwa wanakuwa na misimamo isiyoambilika.Wanajiona wao ni wao hizi ni kasumba za Mwalimu Nyerere kiasi kufika kuitwa baba haambiliki ,jina ambalo alilichukia sana.

Safu hii ya Chadema iwapo watafanikiwa kuongoza dola hii,(Inshaallah wafanikiwe) tumeichoka CCM,kuna uwezekano kuiendesha au kuiongoza Tanzania kama itakuwepo kwa kutumia utawala wa kidikteta ni kushinda CCM ,bila ya shaka kutaiweka nchi katika woga na uhuru wa mwananchi utakuwa finyu.

Sioni busara yeyote ile wanayoitumia pale bungeni ,sioni hekima yeyote ile wanayoitumia katika lugha dhidi ya vyombo vya dola ,hivi wanataka kutuambia watakapo ingia katika duru ya kuiongoza Tz watavunja vyombo hivi wanavyovidharau na kuona haviwatendei haki.

Unyanyapaa huu wa kuvikomalia vyombo vya dola na kuvibeza ni jambo linalotia hofu sana.
Jambo moja ambalo linasababisha CHADEMA wapate wafuasi ni kuzungumza mambo kwa ushahidi.Kuna wakati wametetereka lakini most of the time wanatoa hoja ambazo zina mashiko.
Kuhusu vyombo vya dola ni wazi vina double standard na hili ni jambo la hatari.Kada wa CHADEMA kauawa Igunga lakini mpaka leo hatujasikia viongozi wa CCM wakihojiwa.
Usalama wa Taifa unaangalia maslahi ya viongozi walioko madarakani na ushahidi uko wazi kwani wangefanya kazi yao vizuri EPA na madudu mengine kama kuweka vijisenti abroad yasingekuwepo au wahusika wangekuwa behind the bars.
Kwa ujumla kuna ombwe na mkanganyiko mkubwa na wanachofanya chadema ni kuwazindua Watanzania.
Nakuomba utafute gazeti la raia mwema la wiki hii kuna jamaa kachambua vizuri jambo la vyombo vyausalama.
Tujadiliane kwaamani.
 
CDM Wanataka nchii hii isitawalike. Jana asubuhi huko maeneo ya KIA waliitungua ndege ya ATC kwa kombea, lakini kutokana na umahiri wa rubani akaweza kuiteresha ndege uwanjani salama.

Baada ya kuona hilo jaribio limeshindwa mchana wakaleta UPEPO WA KISIASA ulipelekea kuzama kwa meli ya Karama huko maeneo Chumbe.

Nia ya CDM ni kuichonganisha SERIKALI SIKIVU YA CCM na Wananchi wake.

Tumemuagiza Kamanda Suleiman Kova awakamate na kuwahoji viongozi wote wa juu wa CDM.
 
yule mama waziri wa uwekezaji na uwezeshaji amesema CDM wameliloga lile jengo la machinga complex
 
Chadema inaonekana kuwa makini sana pale bungeni na hata kwenye mahojiano na vyombo vya habari na wamekuwa hawasikii ,wakiambiwa wakielekezwa wanakuwa na misimamo isiyoambilika.Wanajiona wao ni wao hizi ni kasumba za Mwalimu Nyerere kiasi kufika kuitwa baba haambiliki ,jina ambalo alilichukia sana.

Safu hii ya Chadema iwapo watafanikiwa kuongoza dola hii,(Inshaallah wafanikiwe) tumeichoka CCM,kuna uwezekano kuiendesha au kuiongoza Tanzania kama itakuwepo kwa kutumia utawala wa kidikteta ni kushinda CCM ,bila ya shaka kutaiweka nchi katika woga na uhuru wa mwananchi utakuwa finyu.

Sioni busara yeyote ile wanayoitumia pale bungeni ,sioni hekima yeyote ile wanayoitumia katika lugha dhidi ya vyombo vya dola ,hivi wanataka kutuambia watakapo ingia katika duru ya kuiongoza Tz watavunja vyombo hivi wanavyovidharau na kuona haviwatendei haki.

Unyanyapaa huu wa kuvikomalia vyombo vya dola na kuvibeza ni jambo linalotia hofu sana.

kwa mtazamo wangu finyu na ufaham wangu mdogo wa siasa naamini ili tanzania iendelee tunahitaji raisi dikteta mwenye amri na sauti na uwezo wa kufanya maamuz magumu lakini pia awe na mapenzi na nchi na wananchi wake katika namna yenye mipaka na uadilifu.
 
halafu hawa hawa cdm wazificha ofisi za meli iliyo zama na waliingilia hazina ili kupandisha bei ya mafuta ya taa kuwa juu zaidi kuliko hata ya gari

Unajua hawa CHADEMA ni wa ajabu sana,wamewaambia madaktari wagome,wakamteka Ulimboka,Juzi wakazima injini za Mv. Seagul, jana wamezamisha meli,afu wakamtuma Hamadi Rashid aseme bunge liahirishwe,baadae Wakamlazimisha Makinda kuahirisha bunge afu wakaficha ofisi za hiyo meli,lengo lao wanataka NCHI ISITAWALIKE!
 
Naona jinsi wanachama na wapenzi wa CDM mnavyochangia ,halafu ndio mpewe nchi ,ni bora CCM ikazuia hapohapo ,bado hamjafikia kuachiwa nchi mkaongoza ,mmechooka kwelikweli ,hamna kitu vichwa vitupu na mawazo mgando ,angalau mmepata cha kuandika.

Haya subirini 2015 ,mushuhudie CCM inavyoibuka kidedea.na ndio mwisho wa CDM.
CCM kushinda 2015 si jambo la ajabu.Ikiwa inaweza kuelekeza benki itoe bilioni 33 na yaanzishwe makampuni ya kuzichota na zitumike kwenye kampeni watashindwa nini?
Wananachi ni maskini na tumeshuhudia watu wakiuza vitambulisho vya kura hivyo zikiingia bilioni zingine na wakazimwaga watachukua madaraka tena.
Jambo moja ni wazi nalo ni kuwa nchi inataka mabadiliko makubwa iwe kwa hiari au kwa nguvu na wajanja kama Kikwete walishaliua hilo ndo maana kakubali katiba mpya,kampa dogo Nape cheo kikubwa anajitahidi ku pre empty kabla ya dhoruba.
 
Unajua hawa CHADEMA ni wa ajabu sana,wamewaambia madaktari wagome,wakamteka Ulimboka,Juzi wakazima injini za Mv. Seagul, jana wamezamisha meli,afu wakamtuma Hamadi Rashid aseme bunge liahirishwe,baadae Wakamlazimisha Makinda kuahirisha bunge afu wakaficha ofisi za hiyo meli,lengo lao wanataka NCHI ISITAWALIKE!
halafu walipasua kioo cha ndege hukohuko angani
 
muongozo ukaombwa tena..eti chadema ni madikteta..wanamiliki msitu wa mabwepande..rangi za magwanda hazivutiii..??

spika akajibu..kwani hayo yametokea chamwino..???

na bunge rikahairishwa
 
Back
Top Bottom