Unyanyapaa wa Chadema

mama ni mama ndo kauli inayotuponza,coz mama analeta lugha za kitchen area za mjengo,ni hatareeeeeeee
 
WACHENIULIMBUKENI YAANI MNAJIFICHA KWA KUTAFUTA YASIYOHUSIKA,najua nimewagusa vibaya sana ,na zaidi nyie wafuata upepo na wapiga debe mna tabu sana hapa JF,yaani kama mimi ndio mode hawa wenye majibu yasioeleweka,ningewavunja vidole na kuwatia upofu ,wasiione JF kama mwezi hivi.

Suali lipo wazi ,ni kujibu tu hii Nchi mnaipeleka wapi ikiwa leo hamjui mtendalo,magwanda mazito ,mnatuonyesha ubabe au sio ,CCM yao ya kijani nyie yenu makaki mnataka kuifanyia makeniki na ukarabati hii nchi.

hayo magwanda huvaliwa na madikteta na sera za unyanyapaa pale bungeni na kuvikandia vyombo vya dola ni ishara mbaya za utawala wenu,hivi mtaunda jeshi jipya na usalama mpya ,mmewaahidi wangapi pale usalama wa Taifa kuwapa ulaji ,mnaipeleka nchi hii kubaya zaidi ya hapa tulipo.

Na ukome kuwa unaleta mada za kipuuzi!! Kama umechukia saaana waombe mods waitoe post yako!! Nimefurahishwa jinsi watu walivodharau post yako!!
 
Baba v kwani ni nani aliye kuwa wa kwanza kuomba muongozo kabla ya spika kula matapishi yake!

Unajua lukuvi amemuaokoa makinda kwenye laana!
 
u.

Unyanyapaa huu wa kuvikomalia vyombo vya dola na kuvibeza ni jambo linalotia hofu sana.[/QUOTE]

are you serious?......natamani nikupige ngumi za mfululizo...mpaka magamba yakuvuke uzaliwe upya..ushindwe kwa jina la yesu
 
Mara Lusinde akadakia mahindi yana rangi gani?Bi kiloboto akasema kijaaaani

Nchemba akasema mchumi daraja la kwanza lazima hawa tuwashughulikie waliotoka nje
 
mama kinda nasema bunge litaendelea mpende msipende hata kama wapemba wamekufa kwanza wapemba si watu nani kasema wapemba wako kwenye hesabu za watz,lukuvi mheshimiwa muongozo, kwanza meli haijazama hizi ni taarifa za uongo na uzushi wa chadema wanataka umaarufu naomba bunge liendelee,werema akasimama mheshimiwa kinda kuna taarifa za ndani kuwa chadema wamehusika na kuzamisha meli kule zanzibari ila hili jambo liko mahakamani lisijadiliwe

kinda -bunge linaendeleaaaaaaaaaaaa

chadema wamehusika???huyu werema anaanza kukata ringi
 
Jambo moja ambalo linasababisha CHADEMA wapate wafuasi ni kuzungumza mambo kwa ushahidi.Kuna wakati wametetereka lakini most of the time wanatoa hoja ambazo zina mashiko.
Kuhusu vyombo vya dola ni wazi vina double standard na hili ni jambo la hatari.Kada wa CHADEMA kauawa Igunga lakini mpaka leo hatujasikia viongozi wa CCM wakihojiwa.
Usalama wa Taifa unaangalia maslahi ya viongozi walioko madarakani na ushahidi uko wazi kwani wangefanya kazi yao vizuri EPA na madudu mengine kama kuweka vijisenti abroad yasingekuwepo au wahusika wangekuwa behind the bars.
Kwa ujumla kuna ombwe na mkanganyiko mkubwa na wanachofanya chadema ni kuwazindua Watanzania.
Nakuomba utafute gazeti la raia mwema la wiki hii kuna jamaa kachambua vizuri jambo la vyombo vyausalama.
Tujadiliane kwaamani.

Siku zote hesabu zangu mimi ni katika Chadema 10 mwenye akili timamu anaweza kupatikana mmoja tu na hii ni kuanzia Viongozi,Wanachama,hadi mashabiki....unaweza mwenyewe kupanga safu ya Viongozi wa Chadema unaowaona mashuhuri(siyo lazima iwe in a positive way) wa'list katika 10,timamu anaweza kuwa mmoja tu....kati ya Wa'CDM 10 waliochangia katika thread hii wewe ndo yule mmoja out of those 10,yaani wengine wanasikitisha kabisa...hoja imewekwa badala ya kuchangia vitu vya maana wao wanaonyesha ulevi,na hivihivi ndo Viongozi wao walivyo ndo maana utasikia mara "funga mlango tupigane" nitamzuia Rais asije Arumeru" na ***** mwingine mwingi tu,kwakweli inaogopesha sana kama hawa ndo tunaotaka kuwakabidhi dola mwaka 2015
 
Chadema inaonekana kuwa makini sana pale bungeni na hata kwenye mahojiano na vyombo vya habari na wamekuwa hawasikii ,wakiambiwa wakielekezwa wanakuwa na misimamo isiyoambilika.Wanajiona wao ni wao hizi ni kasumba za Mwalimu Nyerere kiasi kufika kuitwa baba haambiliki ,jina ambalo alilichukia sana.

Safu hii ya Chadema iwapo watafanikiwa kuongoza dola hii,(Inshaallah wafanikiwe) tumeichoka CCM,kuna uwezekano kuiendesha au kuiongoza Tanzania kama itakuwepo kwa kutumia utawala wa kidikteta ni kushinda CCM ,bila ya shaka kutaiweka nchi katika woga na uhuru wa mwananchi utakuwa finyu.

Sioni busara yeyote ile wanayoitumia pale bungeni ,sioni hekima yeyote ile wanayoitumia katika lugha dhidi ya vyombo vya dola ,hivi wanataka kutuambia watakapo ingia katika duru ya kuiongoza Tz watavunja vyombo hivi wanavyovidharau na kuona haviwatendei haki.

Unyanyapaa huu wa kuvikomalia vyombo vya dola na kuvibeza ni jambo linalotia hofu sana.

Napata hisia ipo siku nitafungiwa kwa ajili ya huu uzushi mnaoufanya humu JF....
 
Wacheni ulimbukeni yaani mnajificha kwa kutafuta yasiyohusika,najua nimewagusa vibaya sana ,na zaidi nyie wafuata upepo na wapiga debe mna tabu sana hapa JF,yaani kama mimi ndio mode hawa wenye majibu yasioeleweka,ningewavunja vidole na kuwatia upofu ,wasiione JF kama mwezi hivi.

Suali lipo wazi ,ni kujibu tu hii Nchi mnaipeleka wapi ikiwa leo hamjui mtendalo,magwanda mazito ,mnatuonyesha ubabe au sio ,CCM yao ya kijani nyie yenu makaki mnataka kuifanyia makeniki na ukarabati hii nchi.

hayo magwanda huvaliwa na madikteta na sera za unyanyapaa pale bungeni na kuvikandia vyombo vya dola ni ishara mbaya za utawala wenu,hivi mtaunda jeshi jipya na usalama mpya ,mmewaahidi wangapi pale usalama wa Taifa kuwapa ulaji ,mnaipeleka nchi hii kubaya zaidi ya hapa tulipo.

Mwiba mchungu bana!
 
Siku zote hesabu zangu mimi ni katika Chadema 10 mwenye akili timamu anaweza kupatikana mmoja tu na hii ni kuanzia Viongozi,Wanachama,hadi mashabiki....unaweza mwenyewe kupanga safu ya Viongozi wa Chadema unaowaona mashuhuri(siyo lazima iwe in a positive way) wa'list katika 10,timamu anaweza kuwa mmoja tu....kati ya Wa'CDM 10 waliochangia katika thread hii wewe ndo yule mmoja out of those 10,yaani wengine wanasikitisha kabisa...hoja imewekwa badala ya kuchangia vitu vya maana wao wanaonyesha ulevi,na hivihivi ndo Viongozi wao walivyo ndo maana utasikia mara "funga mlango tupigane" nitamzuia Rais asije Arumeru" na ***** mwingine mwingi tu,kwakweli inaogopesha sana kama hawa ndo tunaotaka kuwakabidhi dola mwaka 2015

Kweli kabisa, ila katika ccm elfu kumi hakuna hata mmoja!
 
Back
Top Bottom