Unyama: Wasiojulikana wavamia nyumba ya viongozi wa CHADEMA wanaoratibu ‘CHADEMA ni msingi’ Morogoro Usiku huu

Historia binatuambia kuwa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliyekuwa Raisi wa Kwanza wa Tanzania na Mwasisi wa CCM alitoka Musoma na kwenda Dar es salaam kwa waswahili tena wa Dini ya Kiislam kwa ajili ya kufanya siasa.
Alifanya mikutano ya hadhara na ya ndani.

Serikali ya Mkoloni Mzungu haikueneza Ukabila na ubaguzi kama inavyofanywa na serikali ya kikoloni ya CCM Leo inayowakataza watanzania kuwa taifa moja kwa kuwakataza watu kutoka Mbeya kwenda kufanya siasa Morogoro na kwingineko.
Eti kila mmoja akae kwenye kabila lake na kijijini kwake.
 
Aiseeeeee

Nimecheka sana.
Ila kiukweli siasa za CCM na serikali yake zimeleta Chuki kubwa sana kwenye nchi.
Cha ajabu zaidi walioshiba na kulewa madaraka ndio wanye Chuki kubwa zaidi.
Waliosema wameshinda ndio wenye hofu na Chuki kubwa kuliko walioshindwa , tena kwa kuumzwa ili ushindi utangazwe.
Hata ukiangalia siasa za soka kati ya Simba na Yanga , mahasimu waliokua wanaishi kama watani tu na kuendelea na mambo mengine . Sasa zinaingia kwenye sura Fulani ya Chuki na kejeli zisizofaa kabisa hasa kutoka kwenye ile timu yenye Rangi ya Kijani.
Sijui kijani kina laana gani ndio maana hata maendeleo ya Nchi na soka yanafanywa na Mnyama na sio kijani Yanga.
 
Sio wamevamiwa acha kupotosha sema viongozi Wa chadema wamekamtwa ni zoezi linaloendelea nchi nzima

Mmeambiwa kuwa muda Wa siasa bado nyie vichwa maji hamuelewi

Polisi kamateni wasio tii sheria
We msenge Katiba inaruhusu siasa kasome bill of rights
 
Sio wamevamiwa acha kupotosha sema viongozi Wa chadema wamekamtwa ni zoezi linaloendelea nchi nzima

Mmeambiwa kuwa muda Wa siasa bado nyie vichwa maji hamuelewi

Polisi kamateni wasio tii sheria
Unaweza kutuwekea hapa hicho kifungu Cha sheria kinachokataza Siasa? au naww ndio wale wale wakumeza kila aina ya upuuzi wa watawala mufilisi
 
Hii ni taarifa kamili kama ilivyopatikana kutoka mkoani Morogoro , ambapo watu wasiofahamika huku wakiwa na silaha za kivita wamevamia nyumba wanayoishi viongozi wa Chadema walio kwenye zoezi la Chadema ni msingi mkoani Morogoro .

Taarifa za awali zinadokeza kwamba watu wawili wamechukuliwa ambao ni Alfred Masanja na mwingine ni Mh Diwani Nice Gisunte na mpaka muda huu hawajulikani wamepelekwa wapi .

Kuwa wa kwanza kufahamu yanayoendelea kwenye siasa za Tanzania
Ccm ilishakufa inabebwa siasa za ushawishi haiwezi tena imewalaghai wananchi vya kutosha kete yao kuu ni SGR, flyover, ndege sasa sijui Katavi,Mara,Songea,Iringa,Lindi watakula ndege au flyover. Wameishiwa pumzi,matendo yao maouvu wasiojulikana, Kusomesha watu no, wizi Na upigaji wa karne, watapiga sana push up safari hii.
 
Hii vita siyo mwili ila ni ya roho kwa kuwa wanayo roho mtakatifu ndani lazima tushinde
 
Hii ni taarifa kamili kama ilivyopatikana kutoka mkoani Morogoro , ambapo watu wasiofahamika huku wakiwa na silaha za kivita wamevamia nyumba wanayoishi viongozi wa Chadema walio kwenye zoezi la Chadema ni msingi mkoani Morogoro .

Taarifa za awali zinadokeza kwamba watu wawili wamechukuliwa ambao ni Alfred Masanja na mwingine ni Mh Diwani Nice Gisunte na mpaka muda huu hawajulikani wamepelekwa wapi .

Kuwa wa kwanza kufahamu yanayoendelea kwenye siasa za Tanzania
Kuna umuhimu wa CHADEMA kuandaa program ya ulinzi tena wenye silaa za moto kwa watendaji wa vyama.

Dawa ya wasiojulikana ni Zakaria wa Tarime
 
Sio wamevamiwa acha kupotosha sema viongozi Wa chadema wamekamtwa ni zoezi linaloendelea nchi nzima

Mmeambiwa kuwa muda Wa siasa bado nyie vichwa maji hamuelewi

Polisi kamateni wasio tii sheria
Q

Nani kakwambia ni sheria?,au ni kifungu gani hicho kwenye katiba?

Usitumie mihemuko kuongea mkuu..unajishushia heshima
 
Hii ni taarifa kamili kama ilivyopatikana kutoka mkoani Morogoro , ambapo watu wasiofahamika huku wakiwa na silaha za kivita wamevamia nyumba wanayoishi viongozi wa Chadema walio kwenye zoezi la Chadema ni msingi mkoani Morogoro .

Taarifa za awali zinadokeza kwamba watu wawili wamechukuliwa ambao ni Alfred Masanja na mwingine ni Mh Diwani Nice Gisunte na mpaka muda huu hawajulikani wamepelekwa wapi .

Kuwa wa kwanza kufahamu yanayoendelea kwenye siasa za Tanzania
Cyprian Musiba anajua wapo wapi
 
Sio wamevamiwa acha kupotosha sema viongozi Wa chadema wamekamtwa ni zoezi linaloendelea nchi nzima
Mmeambiwa kuwa muda Wa siasa bado nyie vichwa maji hamuelewi
Polisi kamateni wasio tii sheria

Iwe mwisho kupost ujinga
 
Back
Top Bottom