Unyama: Wasiojulikana wavamia nyumba ya viongozi wa CHADEMA wanaoratibu ‘CHADEMA ni msingi’ Morogoro Usiku huu

Sio wamevamiwa acha kupotosha sema viongozi Wa chadema wamekamtwa ni zoezi linaloendelea nchi nzima

Mmeambiwa kuwa muda Wa siasa bado nyie vichwa maji hamuelewi

Polisi kamateni wasio tii sheria
Siasa za ndani ya chama,
Mikutano na vikao ndani ya chama vina tatizo gani?

Hii hali italifikisha taifa mahali pabaya.
Kuna watu watachoka, atatokea mtu mbaya atawahamasisha waanzishe vurugu na uasi wa silaha.

Au watachoka watajitoa muhanga wataingia barabarani na kuivuruga serikali.
 
Mnapoendelea kuwapa sifa hiyo ya kuwa "watu wasiofahamika" nahuku "wakiwa na silaha za kivita" ndivyo mnavyozidi kuwaongezea ujiko.
Nchi hii inayo serikali na vyombo vyote vya ulinzi na usalama. Hapawezi kamwe pakawa na kundi la "watu wasiofahamika, wakawa na silaha za kivita" na wala serikali isijishughulishe na kundi hilo.

Hivi kuendelea kuwapa sifa hiyo, ni kuwafanya waendelee kuwanyanyasa na hayo wanaowatuma ndio wataendelea kuwatumia na pasiwepo na lawama kwa yeyote, kwa maana ni "watu wasiojulikana", jambo mlilolikubali nyinyi wenyewe. Hamuwezi kmlaumu yeyote, kwa sababu 'hawajulikani.'

Hao waliovamiwa walikuwepo wangapi? Wawili kati yao ndio wakachukuliwa, kwa sababu zipi? Watakapoachiwa au kupelekwa mahakamani kwa mashtaka, bado hao watu mtaendelea kuwaita "wasiojulikana"?

Kwa maoni yangu, haya maneno "watu wasiojulikana" hayafai tena kutumika, kwa sababu watu hao wanajulikana na wanaowatuma pia wanafahamika. Semeni tu 'Serikali imewateka watu wenu'. Kwani kuna shida gani na kusema hivyo ili watu waelewe?

Mtalembalemba ili iweje, hadi lini?
Nadhani jeshi la polisi lina uwezo mkubwa.Nini kinawashinda hapa.Juzi tu hapa wamembamba jamaa mmoja Ars.kwa kuiba bastola na risasi 9.ndani ya masaa kakamatwa.Jeshi la polisi kamata hawa watu.Wanachafua Tz.yetu kwenye mataifa.Mwisho wa siku nasi tutengwe kama Sudan.
 
Hii ni taarifa kamili kama ilivyopatikana kutoka mkoani Morogoro , ambapo watu wasiofahamika huku wakiwa na silaha za kivita wamevamia nyumba wanayoishi viongozi wa Chadema walio kwenye zoezi la Chadema ni msingi mkoani Morogoro .

Taarifa za awali zinadokeza kwamba watu wawili wamechukuliwa ambao ni Alfred Masanja na mwingine ni Mh Diwani Nice Gisunte na mpaka muda huu hawajulikani wamepelekwa wapi .

Kuwa wa kwanza kufahamu yanayoendelea kwenye siasa za Tanzania
Bokoharam wanaharibu nchi jamani tujipange kupambana nao
 
Hii ni taarifa kamili kama ilivyopatikana kutoka mkoani Morogoro , ambapo watu wasiofahamika huku wakiwa na silaha za kivita wamevamia nyumba wanayoishi viongozi wa Chadema walio kwenye zoezi la Chadema ni msingi mkoani Morogoro .

Taarifa za awali zinadokeza kwamba watu wawili wamechukuliwa ambao ni Alfred Masanja na mwingine ni Mh Diwani Nice Gisunte na mpaka muda huu hawajulikani wamepelekwa wapi .

Kuwa wa kwanza kufahamu yanayoendelea kwenye siasa za Tanzania
Tupigane jamani haya yasiyojulikana ni majambazi hata kama akisema kesho ni polisi haya ni ya kuua tu! Rubbish
 
HIZO wanafanya siasa za kishamba sana kampeni bado nyie mnaanza kupiga kampeni na mmekatazwa sasa kama siyo kuitafuta mamlaka uchokozi ni nini kamata tu hao sukuma ndani watakoma tu
Nchi yoyote duniani haijawahi kufanikiwa kwa kutumia uongozi wa ki mabavu .
Fanya research uone. Mataifa yaliofanikiwa ki siasa na kiuchumi. Ni yale ya kidemocrasi.
 
Wanachama usiku usiku.wanachamaa na mikutano .unatoka moshi kuandikisha kagera
Mbona polepole anatokaga dar kuja huku karatu kufanya mikutano ya hadhara? Ana kinga gani yeye? Polepole si mwiraqw kwanini aje kuhutubia ktk ardhi ya wambulu karatu? Kama watu wa moshi hawatakiwi kagera basi na sisi hatutaki hao niliowataja.
 
Yaani hii mijitu ni kwanini haujiamini kiasi hiki?
Hii ni taarifa kamili kama ilivyopatikana kutoka mkoani Morogoro , ambapo watu wasiofahamika huku wakiwa na silaha za kivita wamevamia nyumba wanayoishi viongozi wa Chadema walio kwenye zoezi la Chadema ni msingi mkoani Morogoro .

Taarifa za awali zinadokeza kwamba watu wawili wamechukuliwa ambao ni Alfred Masanja na mwingine ni Mh Diwani Nice Gisunte na mpaka muda huu hawajulikani wamepelekwa wapi .

Kuwa wa kwanza kufahamu yanayoendelea kwenye siasa za Tanzania
 
Wewe bwege nini?
Kila siku chakubanga anazunguka nchi mzima na haguswi au yeye anakuwa anacheza mtunje?
Wacheni siasa za majitaka
Sio wamevamiwa acha kupotosha sema viongozi Wa chadema wamekamtwa ni zoezi linaloendelea nchi nzima

Mmeambiwa kuwa muda Wa siasa bado nyie vichwa maji hamuelewi

Polisi kamateni wasio tii sheria
 
Hii ni taarifa kamili kama ilivyopatikana kutoka mkoani Morogoro , ambapo watu wasiofahamika huku wakiwa na silaha za kivita wamevamia nyumba wanayoishi viongozi wa Chadema walio kwenye zoezi la Chadema ni msingi mkoani Morogoro .

Taarifa za awali zinadokeza kwamba watu wawili wamechukuliwa ambao ni Alfred Masanja na mwingine ni Mh Diwani Nice Gisunte na mpaka muda huu hawajulikani wamepelekwa wapi .

Kuwa wa kwanza kufahamu yanayoendelea kwenye siasa za Tanzania

Kuna kitu ambacho na nyie chadema mnafeli, nina hakika mna vijana mliowafunza kuwalinda, kwann msiwatumie hao ktk vikao km hivyo, ni kweli hawatumii silaha ila kiintelijensia wanatoa taarifa fasta, viongoz wanatembea... kuweni creative bhana, onyesheni kweli mpo hatua mbele zaid yao.
 
Kwa hiyo inawezekana wale wa-Kibiti wametawanyika nchi nzima sasa na kulenga Chadema?
 
Back
Top Bottom