Unyama wa serikali Urambo waanikwa bungeni na Sakaya-CUF

Nchi hii inahitaji sala Ee Mwenyezi Mungu tunusuru kutoka katika mikono ya hawa wanyanyasaji, wauaji, waroho, wasiomwogopa Mungu, wabinafsi mpaka kwenye kucha zao za miguu.
Mungu ametupa akili na uwezo wa kufanya mambo mbalimbali. Tusali lakini wakati huohuo tutende kwa uwezo aliotupa mwenyezi Mungu. Waungwana husema "Mungu nisaidie huku nawe unaweka nguvu zako"
 
Mbunge wa viti maalum CUF-Urambo, Magdalena Sakaya ameeleza jinsi polisi,askari wa wanyamapoli na maliasili walivyochoma nyumba za wakazi wa Urambo, walivyopiga risasi na kuuwa wananchi 23 wa Urambo mwaka 2010 mwezi 9.

Wakazi walichomewa nyumba zao kwenye kijiji cha Pandamlohoka, askari walichukua mtoto wakamweka juu ya kaburi la mama yake.

"Mheshimiwa spika unyama kama huu unafanyika serikali iko wapi..?"

Kwa aliyekuwa akimsikiliza Sakaya lazima machozi yalikuwa yakimlengalenga. Hii ndo serikali ya chinjachinja na chama chinjachinja. Mhe Sakaya alikuwa akichangia bajeti ya wizara ya maliasili.


Now i dare to say CCM = Complete Corrupted Members anae pinga anipinge kwa hoja aone ntakavyo mchana chana kwa ma cemented Evidence.
 
Back
Top Bottom