Unusual cloud formation

Kuna wapumbavu wengine waliomuamini Babu Kiama wakaenda kukwangua kwenye bank accounts zao na kumkabidhi yule babu mapesa chungu nzima sasa wanalia maana akiba zao ndio zimeenda na maji na wengine wanafikiria kumfungulia mashtaka....labka anaona kiama chake yeye anadhani ni kiama cha dunia nzima.

hahahah anamatatizo kwa kweli...
na hao waliomkabidhi mali zao nawaonea huruma..
kwa kweli kuna vituko sana kipande hiyo ya dunia..

Hivi si kuna mmoja kafungwa ajili ya dini yake..
lakini huyu ilikuwa si kihama bali kulala na watotot
wadogo pamoja na mke wa kijana wake kwa madai kwamba
Mungu alimuonyesha njia .. dahhhhhhh
si vitu vya kucheka kwa kweli ila hawa watu wana
matatizo ya akili...
 
  • Thanks
Reactions: BAK
afu nahisi umechoka kama vp malizia usingizi, acha ku google picha, unatudanganya badala kuleta maskills ya ukweli
 
afu nahisi umechoka kama vp malizia usingizi, acha ku google picha, unatudanganya badala kuleta maskills ya ukweli

asilimi kubwa ya picha hapa JF zinatolewa wapi??

haya ngoja nitulie, nione hayo maujanja yako ya kugoogle picha

dahhh haya bana
Kama kweli unataka kujua
hiyo picha nimeitoa wapi waweza kuipata..
si lazima kila kitu utafuniwe..
usiku mwema...
 
HALI ISIYO YA KAWAIDA: Manyunyu ya mvua yaliyoanza jana jioni hadi kufikia leo ahsubui jijini DSM ni kiashiria cha mabadiliko ya mfumo wa hali ya hewa....
 
HALI ISIYO YA KAWAIDA: Manyunyu ya mvua yaliyoanza jana jioni hadi kufikia leo ahsubui jijini DSM ni kiashiria cha mabadiliko ya mfumo wa hali ya hewa....
MkuuLabda ni hii global warming ..Sehemu nyingine unapata Four seasons kwa siku moja...
 
Nilivyoziona hizo picha nikakumbuka hii picha nilipiga May 2010...mawing yalikuwa na shape ya ajabu ajabu lakini sio kama hiyo picha ya AD.
mw4g10.jpg

AD umeyaona hayo au ni photoshop?

Nilidhani ni moshi wa viwanda vyetu vya uswahilini!
 
Nilivyoziona hizo picha nikakumbuka hii picha nilipiga May 2010...mawing yalikuwa na shape ya ajabu ajabu lakini sio kama hiyo picha ya AD.
mw4g10.jpg
[/QUhOTE]Inaoneka ni low level clouds ..Nadhani itakuwa stratocumulus.. Hiyo ya kwangu nimekosa jina dahhhhNadhani ntaiita tu Stratus ....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom