Unlocking Modem/Router Tigo + TTCL

Mpogoro

JF-Expert Member
Dec 7, 2008
386
58
Waungwana, nahitaji msaada wa ku-unlock modem/router mbili ambazo nimenunua toka kwenye mitandao ya simu Tigo na TTCL hivi karibuni.

ya TTCL ni: 4G USB Wingle Model: W02
ya Tigo ni: Mobile WiFi E5573Cs - 322

Nime-attach picha zake. Kama hizi haziwezi kuwa unlocked kwa sasa tafadhali nijulisheni pia. Nilipenda kununua modem/router mpya universal lakini kabla ya kuelekea huko ningependa kujua kama kuna uwezekano wa kuzifungua hizi at all.

Asanteni sana, mnisamehe kama nitakuwa sija-post sehemu sahihi!

WhatsApp Image 2020-03-25 at 09.07.30.jpeg
WhatsApp Image 2020-03-25 at 09.07.29.jpeg
 
hivi ni kwann? nilimpa mtu anae unlock kila moderm ila ya TTCL kachemka

ni kama hiyo hiyo hapo pichani,nilimwachia wiki nzima ila wapi katokota.
ukifungua unaharibu kabisa, ttcl wametumia high level security lock,
 
Back
Top Bottom