MKALIKENYA
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,196
- 486
Kampala univsty in Dsm haushangai?
Kuna tofauti sababu Kampala University ya GONGO LA MBOTO ni branch tu main campus ipo KAMPALA.
Kampala univsty in Dsm haushangai?
kuna tofauti kubwa sana, hicho chuo cha kampala hapa dsm ni campus tu ya kile kilichopo kule kampala, na ni waganda wanaextend, sio wabongo waliokijenga icho chuo. sasa wewe unakijua chuo chochote hapa tz kinachoitwa university of kilimanjaro ambacho kina branch kule kenya? nahisi ulikuwa hujaelewa kidogo.Kampala univsty in Dsm haushangai?
jamaa wanatuzidi kla idara, na hatuna jinsi ya kuwaulza, coz sisi waoga!
Basi mwanakwetu watu kama wewe wanaitwa CHOCOLATE ICE kule LONDON.
tofautisha mtaa na kilimanjaro. kuna kitu fulani hivi kwenye sheria ya hati miliki ya mwaka 1999, kinaitwa folklore rights, yaani kuna vitu fulani vinavyogusa Tanzania moja kwa moja na watz pekee ndo wenye haki hizo, vitu hivyo havitakiwi kuguswa ovyoovyo. mfano. huwezi leo hii kusikia mtu ameweka chuo kikuu kule marekani akaitwa university of serengeti, university of Dar es salaam (unless ni branch/campus tu), university of ruaha, university of mwalimu nyerere (unless sisi wabongo tumeruhusu kama kilivyo cha mandela kule arusha etc). hakuna mtu yeyote mwenye haki ya kufaidika na kilimanjaro kwa namna yeyote ile ila watz, na sisi ndo wenye kazi ya kulinda hata jina la kilimanjaro lisichafuliwe kwani ukitaja tu kilimanjaro umetaja tz, serengeti, mikumi, ruaha, olduvai gauge, mt. meru etc. hii inatambulika dunia nzima...sasa watz huwa hatufuatilii vitu vyetu, ndo maana tunadharaulika.Tuache kulalamika. Tuchukue hatua pale inabidi. Je sheria za kimataifa zinasemaje kuhusu kutumia majina ya watu au vitu vya nchi nyingine? Wanasheria tusaidieni katika hili. Maana hata sisi tunatumia majina ya mitaa mfano, Ohio nk ya nchi nchi nyingine
si hilo tu pia nchini kenya kuna. hospitali kuu ya kilimanjaro kuna pia kilimanjaro conference centre. shule ya upili ya kilimanjaro na kitengo katika GSU kinachoitwa kilimanjaro na kadhalika. pia shuleni katika somo la geographia kilimanjaro imeonyeshwa kuwa kenya
Waacheni manyang'au watupe promo jamani!Maana sisi wenyewe hatujui kujitangaza!Nimelipenda sana tangazo lao fulani hivi wanalosema njoo kenya uuone mlima kilimanjaro, watalii wakishauona watataka wapande na hapo there is no way ni lazima waingie Tanzania! Bravo majirani kwa kutupa promo kimataifa.
naomba uniambia wakenya wana haki ipi katika mlima kilimanjaro, kama mlima ule miteremko yake imefika hadi kenya tuambie ili leo tujifunze jiografia na ramani mpya. ni kwa naman gani wakenya wana haki na mlima ule hadi kufikia kitendo cha kutumia kitu ambacho tz pekee ndo wana hakimiliki? nampongeza mleta mada.Wakazi wa Taveta wanaishi katika miteremko ya Ml. Kilimanjaro, ni haki yao kutumia jina la mlima, so do haki ya Wakenya wote.
Muwaache wapumuwe!
Unajua kuwa kwenye utalii hospitality services ndio zinaingiza hela kuliko gate collection?
Mtalii atakuja Kenya, atakaa hotelini kwa dolari 250 per day, atatoka na malaya wa kikenya na kumpa dola 100, atahudhuria matamasha ya muziki na kula vyakula vyao, atakodi gari lililosajiliwa Kenya.
Atakuja huku atalipa kiingili na hela za potter ambazo hazifiki dola 200.
Nani mjanja hapo?
ila wanapinga sie kujenga barabara itakayopita serengeti kwa kiwango cha lami coz they know tutauwa utalii wao na hasa uhamaji wa wanyama....jino kwa jino...au kama vipi wasijenge uwanja huo wa ndege ili wetu wa kia uendelee kuishi.
sio muda mrefu utasikia kule kwao kuna serengeti hotel, ngorongoro hotel, kilimanjaro hotel, bagamoyo hotel, kila kitu. kwasababu sisi hatuwezi kufanya kitu, ajabu kweli jamani tutalala hadi lini? viongozi wetu wanawaza tu kuvaa mashati ya kijani muda wote, vitu muimu vinavyogusa maslahi na utambulisho wa tz hawavijali kabisa.Wabongo tumelala sana! Na bado wataanzisha ngorongoro hotel
sisi hatukojolei kuran, aliyefanya hivyo ni mtoto mdogo. huna watoto kwenu wewe, hujazaa? utakapokuja kuzaa utajua kuwa mtoto wa mwenzio ni wako tu, na watoto huwa wanasumbua sana. kuweka liability ya alichokifanya mtoto kwa watu wazima au watz wote ni upungufu wa akili. zaidi ya yote, ikikojolewa moja, zingine si zimebaki? na pia, allah si ndo maandishi yake yale, atajipigania kwanini mmtetee kwasababu hananguvu? vitabu vyenyewe ivyo si vynachapwa apahapa duniani? kuna viwanda kabisa vinachapa si mtachapa vingine kile kilichokojolewa kitupwe mpate vile vizuri? akili ni kitu cha muhimu sana...dini zingine huficha akili za watu kabisa aisee. mbona jambo dogo sana mmeshupalia hadi leo?waacheni wakenya wapumuwe!!! nyie huku mnakojolea kuran, wenzenu wanajenga vyuo na kuviita kwa majina ya kwenu!
ni majuha yaliyoshika madaraka! period! inauma sana kwa kweli!Nyie Tanzania si mnaviongozi machoko na usalama wa taifa wala rushwa, mnatagemea nini? Inashangaza kama hizi habari zinakuja kusikika kwenye vyombo vya habari kabla usalama wetu wa taifa haujajua. Na tuna balozi huko Kenya hajui kinachoendelea. Yaani Tanzania tunaishi kwa Neema tu. Ndiyo maana tunazalisha Tanzanite, lakini katika nchi yetu wenyewe haipatikani, isipokuwa Kenya na South Africa. Hapo ndo utaelewa Tanzania ni nini!
Ndiyo maana pia, wageni wanaweza kuturubuni na kubeba makontena ya mchanga eti wanakwenda kuchambulia dhahabu kwao, na sisi tunakubali. Ni zaidi ya uendawazimu. Yaani hii nchi yetu viongozi wake ni kama maroboti tu yanayohongozwa kwa remote, they cant think.
Kampala univsty in Dsm haushangai?