University of Dar es Salaam (UDSM) special Thread

Eti chuoni kwenu hapo, mfano mtu semister ya kwanza ana carry 2 na sup moja, alafu semister ya pili akawa na carry 1 na sup moja.
Je, hapa anakuwa na sifa za kuendelea na masomo akishasapua na kucleare hizo carry.........!?
 
Sasa kama uta ruhusiwa ku sapua na ku clear kwanini usiruhusiwe kuendelea?

Btw, sijui inakuwaje mtu mpaka una sup ama una carry coz za chuo zilivo simple hivo..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu usiseme hivo hivi unadhan MTU huwa anajipanga akapate supp au carry??....alafu unasema course rahisi are u sure???? Unaijua QUANTUM PHYSICS ww ???....mkuu alafu ujue hizi mambo mfano pale udsm inategemeana na college....sasa kama CONas supp nje nje
 
Upo College gani!?? Afu utakuwa mwenyewe Maana CoET na COHU!?

Km ni CoNAS wakati ni ngum!! Jiandae kisaikolojia...

KIMEO CHANGU
 
Eti chuoni kwenu hapo, mfano mtu semister ya kwanza ana carry 2 na sup moja, alafu semister ya pili akawa na carry 1 na sup moja.
Je, hapa anakuwa na sifa za kuendelea na masomo akishasapua na kucleare hizo carry.........!?
Inategemeana masomo mengine amepataje kama gpa yake inasoma chini ya 1.8 atakuwa ame disco, kama itakuwa zaidi ya hapo mwambie ajipange akachomoe mungu atamsaidia,chuoni hakuna kitu raisi japo ugumu unatofautiana usisikilize maneno yawapenda sifa eti course zote raisi wabongo bhana

Ana 1.6 kaandikiwa discontinued.
 
Back
Top Bottom