University admission results updates (Matokeo ya udahili vyuoni)

Asante jina la mwanangu nimeona kwenye multiple admissions lakin kwenye account yake lakin bado imeandika processing
 
Wakuu mimi nalog in inaniambia password or username incorrect wakati nina uakika na data zangu.Je?sim inaweza kuchangia ilo tatizo??
 
Jina nimeliona kwenye multiple admissions lakin kwenye account yangu still wameandika processing, msaada tafadhali
 
Tatizo lenu mnapanic sana...majina yote yapo
With multiple
Without multiple
Na yametumwa humu tayar
 
Sema na wewe dogo unamshwamshwa... Hivi wewe unadhani waliomo humu JF wascreenshot matokeo yao ya selection na wayapost si patachafuka humu ndani... Ujuaji saa ingine sio deal wewe kama umechaguliwa Engineering yako Kausha na Mshukuru Mungu kwani ndio wa kwanza wewe kuchaguliwa Sio Kutupostia Screenshot zako na Kucompare vyuo kusio na maana.... Utashangaa aliechaguliwa UDOM akamaliza chuo wewe unaetambia na UDSM yako Ukadisko utamlaumu nani kama sio kutafuta mikosi...
Muachage umamamama..... MFYUUUUUUUUU
6ac05b5e40b09305eb499458a28225b1.jpg
Et kutafuta mikosi hahah
Najuta kumpost Diamond kwenye page ya Kiba!
Halafu kuna screenshots nyingi tu humu ila yangu ndo imeleta malumbano
Najua unatetea na kupigania upande wapo kitu ambacho ni sahihi kabisa so kila mtu acha afurahie upande wake!!!
 
Back
Top Bottom