Ungependa nani awe mbunge wako kupitia chama cha chadema hapo mwaka 2015?.

Maganga Kabwae jimbo la Mbogwe-Geita, kijana mpambanaji na msomi ana uwezo wa kujenga hoja kama akina mnyika,lisu
 
Kwa upeo wangu na jamii iliyopo UKEREWE;- CHADEMA wampe MSAFILI (Bob MUSA aka. chawata),maana atawanyoosha mafisadi wote na UKEREWE litapata maendeleo yanayotafutwa!!
 
MWL. SALUM FELIX jimbo la Nachingwea Huyu ni jembe linaloweza kuchimbua mizizi ya CCM ANAUWEZO WA KISIASA NA ANAKUBALIKA
 
Bwana kundambanda jimbo la mtama. Huyu ni kamanda kipenzi cha watu wanamageuzi.
 
ISRAEL MARTIN KIDUKO-Mufindi Kusini.Kuna haja sasa ya watu ambao wameguswa na kupata uchungu wa namna rasmali za Taifa zinavyofujwa hovyo na WAJASILIATUMBO kusimama na kusema sasa basi.
 
Back
Top Bottom