Donpela
JF-Expert Member
- Jun 30, 2011
- 2,040
- 591
karibu mkuuu usijali uwe na pesa tu
mnyakyusa tena mpenda sifa mie..usihofuu
karibu mkuuu usijali uwe na pesa tu
Amu walahu huyu sijui wa kike au wa kiume mie hoiii
nitaaminije yakhemimi sina wangu bana wee vipi!!!?
mnyakyusa tena mpenda sifa mie..usihofuu
tena umwambie miss chagga siye wanyaki siyo mchezo zinatoka tu
Karuceeeeeeee
Bahati nzuri mie sinywi labda jipu
Excel embu funguka aisee au ameshawahiwa