Ungekuwa wewe ungeomba nini?!

Dam55

JF-Expert Member
Oct 8, 2015
5,592
11,831
Wasalaam.
Suleman alipo pewa na Mungu nafasi ya kuomba chochote yeye aliomba hekima.
Je kwa haya maisha ya sasa Mungu akikupa nafasi uombe chochote utaomba nini chenye manufaa kwako na kwa wanao kuzunguka.?

Mwenzi wako akikuambia " najua kuna mengi unatamani nikufanyie lakini sina uwezo wa kutimiza yote lakini niombe kitu kimoja tu ambacho kitakupa furaha siku zote na sita acha kukifanyia"
Je utaomba nini?

Tuambie namna wewe unavyoweza kufanya uchaguzi sahihi pindi unapopewa nafasi kama hizi ili tujifunze kwako.
Ahsante.
 
Mimi Mungu akinipa nafasi sasa ntamuomba uzima nisife sasa na baadaye.

Mpenzi ntamuomba kunipenda tu ndo sababu ya mm kuwa naye.
 
Mtu wa Post namba nne ndo amemuelewa Mtoa Mada. Ngoja wengine aje.
Mimi nitaomba kamwe asilete kisingizio cha uongo kuninyima papuchi.
 
Back
Top Bottom