Ungekuwa Ni Wewe Kauli Hii Ungeitafsiri Vipi Ili Ilete Uhalisia Kamili? Je Ina Ukweli Wowote Ule Au?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
57,135
110,490
Kauli Hii Kwako Wewe Ungeipokeaje? Na Ukiidadavua Inakupa Taswira Gani au Ukweli au Uwongo Gani? Kauli Yenyewe Ni " LAITI TANZANIA INGEKUWA NI DALA DALA BASI ABIRIA WOTE WANGESHUKA NA HAKUNA AMBAYE ANGEIPANDA TENA ".

Karibuni Ktk Kuichambua Wanawane.
 
Mmmmh! ikiwa na maana daladala limekufa pamoja na dereva wake tutafute jingine:)
 
Nitafsiri hivi...

kutokana na matatizo mengi yanayo ikumba nchi yetu mbayo mengi yanasababishwa na viongozi wa siasa,mtunzi anatamani Tz ingekua na option kama iivyo daladala...yaani unapanda ukitaka,uashuka upendapo,...

pia mtunzi inaonyesha kama kakata tamaa,but there is still option ya kubadili mfumo mzima wa utawala,so kura yake ndio kushuka kwake kwenye daladala maana Alisha panda anashidwa kushuka....so oct 2015 anaweza fanya maamuzi magumu
 
Sisi sio Abiria, SISI SOTE NI MADEREVA. DEREVA HALIKIMBII GARI LAKE. MAtatizo hayakimbiwi bali yanatatuliwa.
 
Ningeligeuza kuwa kwama mradi liende, nikiwa na maana I would never give up by any means
 
Back
Top Bottom