Unga Unga wapelekwa kwa mkemia mkuu

bwana Peter kivuyo,hufai hata kwa kulumangila,kama ndio ninyi mnao tegemewa na taifa basi ndio maana hakuna tunalofanikiwa.Ni aibu tena kubwa na ya mwaka kusema maneno kama hayo mbele ya waandishi makanjanja ambao nao wamekuwa kama wabunge wa ccm wanaoshindana kugonga meza bungeni.
Hivi hata mtu mmoja hakumuuliza swali la kijinga tu.iweje ukumbi uendele kutumika wakati bado uchunguzi unaendelea.

..bunge lingeendeshwa wapi?

..halafu,kuna jipya lipi,zaidi ya ukweli wanaoujua wao?
 
Hii nchi kweli inatia aibu...

Facts ni kuwa hakuna "unga" wa aina yoyote unaopatikana bungeni...sasa hawa polisi/serikali wamekuta kuna unga ndani ya bunge letu katika mazingira ya kutatanisha...inachukua siku 8 kupelekwa kwa mkemia mkuu...!!!

Ni vigumu sana kutokukata tamaa na hii nchi...
 
Leo nilikuwa najiuliza lile sakata la kunyunyuzia unga mweupe bungeni lilikwishaje? Kuna mtu anakumbuka au lilikufa kimya kimya?
 
Back
Top Bottom