Unfaithfull!!!!!!!

Kiukweli kwa upande wangu mimi naona ni vigumu sana kumsamehe mpenzi wako aliyekusaliti kwa sababu ni vigumu kusahau aliyokutendea na pia bado utakuwa na wasi wasi pengine anaweza kuja kukusaliti tena hapo baadae. Kitu pekee kitakachomfanya asahau ni muda, kadiri muda utakavyozidi kwenda na jinsi matendo ya mpenzi wake ya kudhihirisha kuwa amebadilikia na hatorudia tena kumsaliti mpenzi wake ndivyo vitu pekee vitakavyomfanya huyo kaka aweze kusahau yote na kujikuta anampenda mpenzi wake kama zamani. Ila jambo la msingi zaidi ambalo ningependa kumshauri huyu kaka kuwa asikilize moyo wake unataka nini, usije ukajilazimisha kuendelea na uhusiano wakati moyoni bado una maumivu na hauko tayari kuendelea na huo uhusiano na kujikuta unamtesa dada wa watu. Ila angalia usije ukaruka mkojo ukakanyaga mavi. Fikiri sana kabla ya kutenda
 
Mwafrika halisi,naomba ujibu swali hili,kwanini unayakumbuka uliyosamehe?Unayakumbuka ili nini?

Sidhani kama unapomsamehe mtu kuna kitufe kinajibonyeza na unasahau kila kitu. Akili yangu haisahau hata nikisamemehe. Katika namna/hali hiyo maamuzi yangu yanachagizwa na yale niliyoyapitia siku za nyuma. Nimesomeka?
 
hajui mana ya kusamehe uyo mana kusamehe ni kusahau ivo yy hajafanya ivo bado ..........asonge tu mbele(achape lapa) atapata mwingine mwaminifu
 
impossible kwangu...kusamehe ntasamehe ila sitarudiana naye coz ntakuwa simuamini kwa asilimia 100...
 
Huyo ndugu yako mwenyewe ni muaminifu?!
Sio mwaminifu kihivyo ila the isue anasema walivyokubaliana tangia wanaanza relationshp yao ni kwamba atakayemsaliti mwenzie na ikafahamika basi wanaachana so yeye kamkamata mpnz wake na kiukweli anasema its difficult to 4get what have happend.
 
Natumaini mwaendelea vizuri na majukumu yenu ya kila siku..
Kuna ndugu yangu amesalitiwa na mpnz wake wake wa kike(girlfriend),ana uhakika 100% kwamba amesalitiwa na huyo gal wake kakubali. Huyo gal wake kamuomba msamaha na akasema kilichotokea ilikua bahati mbaya na anaomba 2nd chance waendelee kwenye malavidavi.Huyo ndugu yangu amemsamehe na anampenda sana lakini inamuwia ngumu sana kuendelea na huyo gal wake mana anaona hataweza kusahau kilichotokea in future na itamsumbua sana.
Mnamshaurije huyu ndugu yangu?

kinachouma all the time in these issues ni ku imagine dem wako anatafunwa na jamaa mwingine, tena sometimes kwa style ambazo hata wewe hujawahi kufanya nae, then anakuja anakwambia i am sorry it was an accident......there is no accident in kutiana........ni kitu ambacho she wanted to do and hell yeah, she enjoyed much.....to me ni kuchinjia baharini tu......there is no mercy
 
Sio mwaminifu kihivyo ila the isue anasema walivyokubaliana tangia wanaanza relationshp yao ni kwamba atakayemsaliti mwenzie na ikafahamika basi wanaachana so yeye kamkamata mpnz wake na kiukweli anasema its difficult to 4get what have happend.

sasa kama walisha agree on those grounds what the hell is he waiting for........he should just dump the bitch
 
jambo lolote unalofanya lnaanzia kwenye ufikiri wako. ukiamua it is alwaya possible!
 
am afraid nowdayz love is much connected 2da material thngz kama pesa, mali, mwil etc. Na itokeapo hcho klchowakutanisha kikapotea au ku2mia tofauti bas everthng is over. Unapotaka kumhukum mwenzio kwa kosa flan hebu jiulze kama na ww umekamilika. Na kama tutakuwa tunahukumiana hvo je? Kutakuwa na mapenz tena? Kutakuwa na wapenz tena? Sio kwamba utamalza wote at last urud pale tena? TUSAIDIANE KUFKRIA HAYO.
 
Acha umbea ya wapendanao wahachie wenyewe!
Natumaini mwaendelea vizuri na majukumu yenu ya kila siku..
Kuna ndugu yangu amesalitiwa na mpnz wake wake wa kike(girlfriend),ana uhakika 100% kwamba amesalitiwa na huyo gal wake kakubali. Huyo gal wake kamuomba msamaha na akasema kilichotokea ilikua bahati mbaya na anaomba 2nd chance waendelee kwenye malavidavi.Huyo ndugu yangu amemsamehe na anampenda sana lakini inamuwia ngumu sana kuendelea na huyo gal wake mana anaona hataweza kusahau kilichotokea in future na itamsumbua sana. Halafu mbaya zaidi amefahamu akiwa nnje ya nchi ameenda masomoni,so na ishu ya umbali inampa headache
Mnamshaurije huyu ndugu yangu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom