Unfaithfull!!!!!!!

Majighu

Member
Dec 17, 2010
10
0
Natumaini mwaendelea vizuri na majukumu yenu ya kila siku..
Kuna ndugu yangu amesalitiwa na mpnz wake wake wa kike(girlfriend),ana uhakika 100% kwamba amesalitiwa na huyo gal wake kakubali. Huyo gal wake kamuomba msamaha na akasema kilichotokea ilikua bahati mbaya na anaomba 2nd chance waendelee kwenye malavidavi.Huyo ndugu yangu amemsamehe na anampenda sana lakini inamuwia ngumu sana kuendelea na huyo gal wake mana anaona hataweza kusahau kilichotokea in future na itamsumbua sana. Halafu mbaya zaidi amefahamu akiwa nnje ya nchi ameenda masomoni,so na ishu ya umbali inampa headache
Mnamshaurije huyu ndugu yangu?
 
Kwanza hajui kusamehe maana yake nini!Kusamehe kuna maana ya KUSAMEHE NA KUSAHAU!Kama hujasahau hujasamehe.Pia kingine nadhani hayuko tayari kusamehe kwani anaamini mtu aliyetoka nje ya mahusiano hawezi kubadilika!
 
Mwambie dogo kuna wanawake wengi tu duniani-alicho nacho huyo na wengine wanacho....Huyo gf wake-anomba 2nd chance kwani anagombea uraisi america au>
 
pole sana
samehe tu binadamu kuteleza kawaida
mradi kakiri kosa
na ameahidi hatorudia
happy new year
 
Sasa kama inamuwia ngumu kuendelea nae ushauri gani anataka? Anajua fika anachotakiwa kufanya, mwambie afanye tu hana deni na mtu.
 
Kama hawez kuendelea nae amuache cz inaonekana uaminifu umeshapotea,atabaki kujiumiza bure kwa wacwac
 
Natumaini mwaendelea vizuri na majukumu yenu ya kila siku..
Kuna ndugu yangu amesalitiwa na mpnz wake wake wa kike(girlfriend),ana uhakika 100% kwamba amesalitiwa na huyo gal wake kakubali. Huyo gal wake kamuomba msamaha na akasema kilichotokea ilikua bahati mbaya na anaomba 2nd chance waendelee kwenye malavidavi.Huyo ndugu yangu amemsamehe na anampenda sana lakini inamuwia ngumu sana kuendelea na huyo gal wake mana anaona hataweza kusahau kilichotokea in future na itamsumbua sana.
Mnamshaurije huyu ndugu yangu?
mwambie dogo ale maisha ,kumsamehe mtu aliyekusaliti inawezekana lakini kuendeleza mahusiano naye is like chasing a white elephant.
ingekuwa wife sawa ila gf ,huo ni utumwa sasa.
 
mimi nashauri moyo wake unachomtuma kufanya,maana hata kama sisi tukimshauri kiasi gani mwisho wa siku yeye ndo ataishi na huyo mwenza. ila pia ukikubali kufanya tendo la ndoa kabla ya ndoa, ujue mwenzio au alishaanza au atakuchakachua.mimi nashauri vijana msubiri mkioa na kuolewa ndo muanze mambo a kikubwa.
 
hili nalo neno royna ,ila kulitimiza ni ngumu km ilivyokuwa ngumu kutii maandiko.
 
Kwanza hajui kusamehe maana yake nini!Kusamehe kuna maana ya KUSAMEHE NA KUSAHAU!Kama hujasahau hujasamehe.Pia kingine nadhani hayuko tayari kusamehe kwani anaamini mtu aliyetoka nje ya mahusiano hawezi kubadilika!

I beg to disagree. I happen to forgive people but I never forget what they did to me, I mean isn't that experience what is all about? Your past. Tatizo ni pale unaporuhusu past iathiri future yako but if you can control it, I don't see a problem there. My advice: follow your heart and don't forget to bring your head along!
 
Mwambie dogo kuna wanawake wengi tu duniani-alicho nacho huyo na wengine wanacho....Huyo gf wake-anomba 2nd chance kwani anagombea uraisi america au>

watu mna majibu ya kuchekesha humu jf.
 
Mwafrika halisi,naomba ujibu swali hili,kwanini unayakumbuka uliyosamehe?Unayakumbuka ili nini?
 
Hizi ishu za dizaini hii huwa hamna haja ya kushauri. Ukimshauri warudiane, wakija kukorofishana tena we utaonekana ndio mbaya ulishauri warudiane. Ukishauri waachane, wakija kurudiana kimya kimya we utaficha wapi uso wako? Acha wahamue watakavyo amua.
 
Bahati mbaya kivp, alibakwa??? Tabia haina dawa, naogopa maana akimletea UKIMWI msamaha hautaponya VIRUSI
 
amemsaliti vipi? yaani katembea na mwanamme mwingine? kama ndivyo hiyo ni hatari. hilo kosa halisameheki. mimi naweza msamehe ili niwe namsalimia tu, sio kuongea, kugusana wala kusaidiana. halafu akiendelea kunisemesha semesha nimsamehe namrukia sikio naling'ata na kipande nakimeza kabisa. Mimi huwa sina mzaha wala mswalie mtume kwa mambo ya mapenzi. mkuu asisamehewe. huyo msichana ana dharau sana! anaomba msamaha? dah!. Mia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom