Unazionaje Simba na Yanga huu msimu huu wa 2023/ 2024?

UtdProfile_

JF-Expert Member
Aug 26, 2021
255
310
Mienendo ya Simba na Yanga, kwa Upande wako unadhani nanii anatabiriwa makubwa kwa huu msimu 2023/2024?
 
Yanga ina madeni mengi yakujitakia

Simba ina wachezaji wazuri ila mfumo wa kocha bado haueleweki.

Simba atachukua kombe, Yanga atakuwa kwenye migogoro ya madeni huko FIFA.

Max anaitumia Yanga kama ajira portal, anaomba kazi kijanja pale Simba anafikiri sisi wajinga hatujui kutafsiri mambo.
 
Max anaitumia Yanga kama ajira portal, anaomba kazi kijanja pale Simba anafikiri sis wajinga hatujui kutafsiri mambo.
Unachekesha sana, relax braza afu comment tena na tena
 
Yanga ina madeni mengi yakujitakia

Simba ina wachezaji wazuri ila mfumo wa kocha bado haueleweki.

Simba atachukua kombe, Yanga atakuwa kwenye migogoro ya madeni huko FIFA.

Max anaitumia Yanga kama ajira portal, anaomba kazi kijanja pale Simba anafikiri sis wajinga hatujui kutafsiri mambo.
Hahahahahahahahahahhahahahahahahaha......

Mkuu umecoment kama umetoka kwenye usingizi wa jinamiz halafu umerudi usingizini tena.

Hahahahahahaahahaa...duh!
 
Yanga ina madeni mengi yakujitakia

Simba ina wachezaji wazuri ila mfumo wa kocha bado haueleweki.

Simba atachukua kombe, Yanga atakuwa kwenye migogoro ya madeni huko FIFA.

Max anaitumia Yanga kama ajira portal, anaomba kazi kijanja pale Simba anafikiri sis wajinga hatujui kutafsiri mambo.

Je Simba atachukua kombe kwa kocha huyo huyo msiyemuelewa mfumo wake au mtafukuza kocha? Yanga ni timu na sio mchezaji mmoja kwahiyo kama ilivyokuwa kwa Mayele, Feitoto, Bangala, Nabi na Djuma Shabani ndivyo itakavyokuwa kwa Max. Kuondoka kwake haitoitetelesha Yanga. Watasajiliwa wachezaji wengineo
 
Komenti nyingine ni za utani tu, Msije mkawa mnahemuka.
 
Je Simba atachukua kombe kwa kocha huyo huyo msiyemuelewa mfumo wake au mtafukuza kocha? Yanga ni timu na sio mchezaji mmoja kwahiyo kama ilivyokuwa kwa Mayele, Feitoto, Bangala, Nabi na Djuma Shabani ndivyo itakavyokuwa kwa Max. Kuondoka kwake haitoitetelesha Yanga. Watasajiliwa wachezaji wengineo
Anayo nafasi ya kuweza kuibadilisha timu.

Hata kama atashindaa kuibadilisha iwe inacheza ila kama tutakuwa tunashinda basi hatuna noma naye.

Lengo ni kupata punda sio mlio wake
 
Yanga ina madeni mengi yakujitakia

Simba ina wachezaji wazuri ila mfumo wa kocha bado haueleweki.

Simba atachukua kombe, Yanga atakuwa kwenye migogoro ya madeni huko FIFA.

Max anaitumia Yanga kama ajira portal, anaomba kazi kijanja pale Simba anafikiri sis wajinga hatujui kutafsiri mambo.
Kweli aliyewaita Mbumbumbu hakukosea.

Eti "simba ina wachezaji wazuri!"! Ni nani hao kwa mfano!!! Halafu eti "mfumo wa kocha hauleweki"!!! Kwa hiyo unataka tuwatafutie kocha wa kuwaletea mfumo mzuri?
 
Mi sibishani na shabiki ambaye timu yake haishiriki African Football League.

Umekosa vigezo
 
Yanga ina madeni mengi yakujitakia

Simba ina wachezaji wazuri ila mfumo wa kocha bado haueleweki.

Simba atachukua kombe, Yanga atakuwa kwenye migogoro ya madeni huko FIFA.

Max anaitumia Yanga kama ajira portal, anaomba kazi kijanja pale Simba anafikiri sisi wajinga hatujui kutafsiri mambo.
🤣
 
Back
Top Bottom